Mume na Mke Msipishane Sana Umri

Unataka kusema tuiache hii mishangazi never.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepishana naye miaka 5, hapa napo niko off target mkuu?
 
hapo unaongelea mke wa ngapi mkuu
yaani nina miaka 75 naoa mke wa nne nioe wa umri wangu, hiyo haipo mkuu
lazima nioe wa 20s
 
Kwamba Maisha yako / Mtizamo wako ndio SI Unit ya Maisha ya watu ?

Kila mtu kuna kitu anatafuta kwenye mawasiliano mwingine anatafuta Trophy Wife, Mwingine variety n.k. (Unless unadhani Till Death do us Apart still Applies......)

To each their Own ?
 
Sahihi kabisa [emoji817]
 
Hapa Kuna ukweli ila pia watu wa Rika Moja wengi huwa hawapendani sana refer makuzi yetu
Rika Moja tunapenda kuwa marafiki wa kawaida sio commitment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…