Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro.

Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa sana. Hii tabia ya kutopenda kelele kwenye nyumba yako inaonyesha uliilea mwenyewe ndio maana ikaota mizizi.

Sasa ujinga wa wanawake wakishaona unakwepa maneno yake na kuyaogopa au huchukui hatua basi anakuwa ndio kichwa cha familia badala Mume.

My take:
Mwanaume kama hupendi kelele usizuge baa, kwa mchepuko au vijiweni kwa kukwepa kelele za mke, chukua hatua sasa ya kurudisha mamlaka yako ndani ya familia. Iwe ni kwa nguvu au kwa aina yeyote ile.

Ni aibu kwa mume kuamua kufanya mambo kisa tu hupendi kelele, nakuonea huruma sana mtu wa aina hiyo.
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro.
Hahahahah tuache tukae bar na vijiweni tu😅 maana wengine makofi yako jirani! Ukiambiwa nyamaza husikii unatarajia nini?

Mie simu tu huwa nakata kelele zikianza sembuse kukaa na redio mbao ndani?
 
Hahahahah tuache tukae bar na vijiweni tu😅 maana wengine makofi yako jirani! Ukiambiwa nyamaza husikii unatarajia nini?

Mie simu tu huwa nakata kelele zikianza sembuse kukaa na redio mbao ndani?
Mke anapaswa kutiwa nidhamu mpaka anapotaka kuropoka aogope mwenyewe sababu ya matokeo yatakayokuja ni vitendo
 
Nina
Anza kuishi naye ndani kwa miezi 7, then uje utupe mrejesho,wa jinsi watu wawili, wanavyosuguana na kuresolve or kudissolve
Miaka miwili sasa lakini sitaki kabisa kukubali kupelekwa au kuwa mnyonge. Usipokuwa makini wanawake wanatumia huruma yako kukudhifiisha ili uache kutumia maamuzi yako. Anataka umuonee huruma kwa kila kitu hata kama ni uzembe na ukweli
 
Ndo nyie Mnawai nyumbani,
mnakaa na wake zenu mnaongea mpaka ya kuongea yanaisha mnaanza kusimulia hadi ya wanaume wenzenu?

Uhalisia Ni kwamba,
Asilimia kubwa ya wanaume wanaowahi mapema Sana kurudi nyumbani Ni WAMBEA SANA na hawaaminiki[emoji4]
tapatalk_1589700037732.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm nilikuwa sipigizani kelele na mke
TARAKA tu ilioongea
Mimi nikiona ilipofika tunashindwa sasa
na nimekuonya nimejitahidi kukurekebisha urekebishiki
nikigundua sasa unafanya kusudi sio tena ule msemo wa kuishi nao kwa akili
TARAKA ilihusika hii ilifanya hata niliyemuoa sasa awe na heshima 7bu anajua huwa silembi na kuoa wake wawili hilo siwezi km ilivyo kuwa na mke na mchepuko
mm maisha yangu huwa napendaa kuwa na mwanamke mmoja kwa wakati mmoja sasa mm mkimya mno ukorofi sipendi sasa wewe ukileta ukorofi nikakuonya nikakuelekeza uelekezeki nikawaambia wazazi wako wakakukanya lkn huelewi
sasa hiyo kusudi na kusudi mwenzie jeuri
sasa mwanamke mwenye kusudi we mtwange taraka tu
akapambane na hali yake ya nini akupe presha
tena mm nikikupa taraka unasepa wewe tu na matako yako watoto unawaacha
 
Back
Top Bottom