Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

Hahahahah tuache tukae bar na vijiweni tu[emoji28] maana wengine makofi yako jirani! Ukiambiwa nyamaza husikii unatarajia nini?

Mie simu tu huwa nakata kelele zikianza sembuse kukaa na redio mbao ndani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili yake nahisi ina mfumo tofauti kidogo na wa kiume😅 hata Mungu mwenyewe aliona isiwe tabu akatufukuza Eden maana mwanamke unachomkataza asifanye yeye ndio anafanya sasa bora usimpe maagizo yeyote sababu ni mpuuzi!
Mkuu watu wanashindwa kuelewa tu, sio kwamba "tunatofauti kidogo" tunatofauti kubwa sana kuanzia kimaumbile hadi kisaikolojia...

Na katika masuala ya mapenzi hizo tofauti zetu za kimaumbile zinahusika..

Wengi wanajuwa sababu za kimaumbile zinazowavutia kuwa kwenye mapenzi lakini sababu za kisaiolojia hawazijui wanafikiri vitu vinatokea automatically...
 
Mm Babe mama wangu niexactly ulichokiandika hapa mkuu,yaani tena ugomvi unakua sio wa kwenu Tu Hadi najirani nandugu watashirikishwa and worse enough anakutoa Akili/maana yakua mwanaume gani ww unagubu,ukimpiga nayy anakupia,kiasi kwamba unaamua kwenda kulia nje Tu Kwa balaa ulilonalo,kiufupi mkorofi ,mtaka Fujo,nahajui kama anamatatizo,sikuhyo ya tatizo anaweza asipike,asifanye chochote kwalengo lakukukomoa,yaani,daahh,
Anajauwa weakness zako.. lakini wewe hujui weakness zake, kwaufupi yeye anajiona ni kidume kwenye mahusiano yenu, chunguza vizuri ni lazima kuna jamaa mwingine atakuwa anaonekana yeye ni mwanume kamili na anapewa penzi
 
Mkuu watu wanashindwa kuelewa tu, sio kwamba "tunatofauti kidogo" tunatofauti kubwa sana kuanzia kimaumbile hadi kisaikolojia...

Na katika masuala ya mapenzi hizo tofauti zetu za kimaumbile zinahusika..

Wengi wanajuwa sababu za kimaumbile zinazowavutia kuwa kwenye mapenzi lakini sababu za kisaiolojia hawazijui wanafikiri vitu vinatokea automatically...
Wazi kabisa
 
Kelele zinatokana na Drama , pamoja na kutest confidence ya mwanaume .. yani mwanaume asipo koroma ndani ya nyumba mwanamke hujihisi kama anaishi na mwanaume asiyekamilika..!

Duh[emoji3][emoji3][emoji3]
 
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE.

Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu.

Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu unazojua wewe kama vile zinaa ila ukawa na kitu hichi, "kelele/makelele" unashangaa kila baada ya muda fulani mahusiano yako ya urafiki/uchumba yakikaa huwa yanavunjika.

Unaweza ukapata bahati ya kuambiwa shida yako na aliyekuacha, baada ya kukuonya mara nyingi huko nyuma, ama unaweza kuachwa kimya kimya bila kuambiwa shida yako ni nini.

Ukiwa kama mke, unaweza kuharibu ndoa yako kwa sababu hii, "kelele/makelele" kwa mume wako. Hasa ukiwa umeolewa na mwanaume ambaye hajasimama vizuri kwenye imani, na ambaye hajaokoka.

Ni rahisi sana mwanaume kuchoshwa na mke mwenye makelele/kelele, na kutoka nje ya ndoa yake. Sio njia ya kumaliza tatizo ila kwa mwanaume ambaye hajaokoka kwake haiwezi kuwa tabu kufanya hivyo.

Tunaweza kulalamika sana kuhusu waume zetu wanaochelewa sana kurudi nyumbani ila ukweli ni kwamba, kelele zetu ndio zinawafanya waume zetu waone ni heri kuchelewa nyumbani, kuliko kuwahi nyumbani ukakutana na kelele zisizo na mwisho.

Japo kuchelewa nyumbani hakuwezi kuondoa tatizo, wanaume wengi huona njia hiyo inawasaidia wao kuepuka kelele za wake zao. Sasa huko nje huwezi kujua huyu mwanaume anashindia wapi.

Ndio maana wanawake wengi huanza kuhisi vibaya waume zao, kwa kuwaambia wana wanawake wengine nje. Si unajua kusingiziwa kila siku kitu ambacho hukifanyagi huwa inauma na mtu mwingine inaweza kumwathiri. Na kuamua kufanya kweli, hasa kwa yule asiye na hofu ya Mungu ndani yake.

Kelele zisizoisha ndani ya ndoa zinaweza kuharibu kabisa ndoa ile, wawili hawa wanaweza kuonekana kwa nje wapo pamoja ila ukweli humo ndani hawapo pamoja.

Hebu tuangalie maandiko matakatifu yanasemaje kuhusu hili, huenda umepata ukakasi wa hili fundisho kutokana na kichwa cha somo hapo juu.

Rejea: Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.MIT. 9:13 SUV.

Mwanamke yeyote anayepiga sana kelele ni mpumbavu, na ni Mjinga, yaani ana sifa zote mbili, ya upumbavu na ya ujinga. Tena andiko likaongeza mkazo zaidi, HAJUI KITU.

Kwa lugha nyingine mwanamke wa namna hii, huwa mjuaji sana, kila kitu yeye anajua, yupo juu kwa kila kitu, kujishusha kwake ni hakuna. Mume wake hakuna anachoweza kuzungumza akaeleweka, yeye ni anachojua sana ni kelele.

Wanawake wa namna hii, huwa wanakimbilia wapewe haki SAWA, yaani 50 kwa 50, si unakumbuka ni kwa sababu HAWAJUI KITU! Ni andiko limesema hivyo, wanaojua kitu hawezi kupigizana hizo kelele.

Rejea: Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.1 KOR. 11:3 SUV.

Kichwa cha mwanamke ni mwanaume, na sio kichwa cha mwanaume ni mwanamke... huu sio ukabila. Maana kuna watu hawachelewi kusema huo ni ukabila/utamaduni wa watu fulani, hili ni andiko ndani ya Biblia.

Wanawake mtaponya ndoa zenu wenyewe, acheni kelele ndani ya nyumba zenu, ndoa inajengwa kwa hekima ya kiMungu iliyo ndani yako. Si kwa kelele zako ndani ya nyumba.

Rejea: Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. MIT.14:1 SUV.

Wasiosikia, endeleeni kuzibomoa ndoa zenu wenyewe huku mkilalamikia wanaume, utasema wewe hujui tu ninayoyapata, kwani wakati unaolewa naye hukujua hayo. Si hadi kuna watu walikuja kukunasua ukaona wanakufuatilia maisha yako! Basi tulia, acha kelele.

Tena tabia yake mbaya ulikuwa unaiona kwake ukasema Mungu atambadilisha akiwa ndani ya ndoa, kwa hiyo Mungu ameshindwa hiyo kazi? Jibu ni kwamba, ujuaji wako, upumbavu wako, Ujinga wako, na kutokujua kwako ndio kulikuingiza kwenye mahusiano yasiyo yako. Acha kelele.

Turejee kwa Mungu.
Samson Ernest.
+255759808081.
 
Bora kukaa bar kama huna hasira kuliko kukaa nyumbani uende jela.
Mwanamke mpumbavu uropoka chochote bila kuchuja.
Ni wanawake wachache tu wenye midomo yenye filters.
 
Mkuu watu wanashindwa kuelewa tu, sio kwamba "tunatofauti kidogo" tunatofauti kubwa sana kuanzia kimaumbile hadi kisaikolojia...

Na katika masuala ya mapenzi hizo tofauti zetu za kimaumbile zinahusika..

Wengi wanajuwa sababu za kimaumbile zinazowavutia kuwa kwenye mapenzi lakini sababu za kisaiolojia hawazijui wanafikiri vitu vinatokea automatically...
Eeeh tuambie hizo za kisaikorojia tuzijue
 
Hahahahah tuache tukae bar na vijiweni tu😅 maana wengine makofi yako jirani! Ukiambiwa nyamaza husikii unatarajia nini?

Mie simu tu huwa nakata kelele zikianza sembuse kukaa na redio amekuja kutupiga kelele na huku
 
Back
Top Bottom