Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

50 Ways To Leave Your Lover

“The problem is all inside your head”
She said to me
“The answer is easy if you
Take it logically
I’d like to help you in your struggle
To be free
There must be fifty ways
To leave your lover”

She said, “It’s really not my habit to intrude
Furthermore, I hope my meaning
Won’t be lost or misconstrued
But I’ll repeat myself
At the risk of being crude
There must be fifty ways
To leave your lover
Fifty ways to leave your lover”

You just slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just get yourself free
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

Ooh, slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just listen to me
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

She said, “It grieves me so
To see you in such pain
I wish there was something I could do
To make you smile again”
I said, “I appreciate that
And would you please explain
About the fifty ways?”

She said, “Why don’t we both
Just sleep on it tonight
And I believe in the morning
You’ll begin to see the light”
And then she kissed me
And I realized she probably was right
There must be fifty ways
To leave your lover
Fifty ways to leave your lover

You just slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just get yourself free
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

Slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just listen to me
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

© 1975 Words and Music by Paul Simon
 
Imeandikwa,
Tuishi nao kwa akili na sio maguvu[emoji4]

Kuzuga bar nayo ni akili,

Kwanza baba unawahi nyumbani mapema ukafanye Nini?

Au ndio nyie wababa mnaonyang'anyana remote na mahousegal kuangalia KULFI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama utakuwa muda wako mwingi unaishia Bar,muda wa kuwa na watoto unaupata saa ngapi...?
 
Kama mtaji wako ni kumtomba vizuri mwanamke nakusihi badili akili maana wapo wanaotumia hadi mkongo lakini tabu iko pale pale!

Mwanamke ni kiumbe korofi toka kuumbwa kwa dunia. Akili yake nahisi ina mfumo tofauti kidogo na wa kiume[emoji28] hata Mungu mwenyewe aliona isiwe tabu akatufukuza Eden maana mwanamke unachomkataza asifanye yeye ndio anafanyasasa bora usimpe maagizo yeyote sababu ni mpuuzi!
hapo BOLD hivi kwann mwanamke wa ndoa kabisa jambo unalisema kila siku
mfn mm namuambiaga ukiona maji yamefika Nusu mfano sisi tuna jaba mbili za lita 60 kwa 120 na ndoo za lita 20 km 10 hivi
huwa namuambia ukiona maji yamefika nusu jazia yaani bana wewe anatumia maji mpk zinabaki ndoo mbili 2 na hapo maji yapo uwani kujaza ndani kipengele
basi hilo neno kila siku namuambia ikitoke maji yamekatika na zimebaki ndoo mbili inakuaje?
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro.

Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa sana. Hii tabia ya kutopenda kelele kwenye nyumba yako inaonyesha uliilea mwenyewe ndio maana ikaota mizizi.

Sasa ujinga wa wanawake wakishaona unakwepa maneno yake na kuyaogopa au huchukui hatua basi anakuwa ndio kichwa cha familia badala Mume.

My take:
Mwanaume kama hupendi kelele usizuge baa, kwa mchepuko au vijiweni kwa kukwepa kelele za mke, chukua hatua sasa ya kurudisha mamlaka yako ndani ya familia. Iwe ni kwa nguvu au kwa aina yeyote ile.

Ni aibu kwa mume kuamua kufanya mambo kisa tu hupendi kelele, nakuonea huruma sana mtu wa aina hiyo.

Exactly the point, ukishakuwa kichwa hupaswi kupigizana kelele, unaoongoza!

Ndoa yako haina umri wa miaka 3, kuna siku utaelewa tunachosema, jipe mda
 
Duuh yote sawa ila mwanaume kuwa kichwa cha familia ni busara na kuwa upembuzi wa kina juu ya mambo kabla ya maamuzi.
Mwanamke ni kuishi nae kwa upendo na ustaarabu mengine mwachie mungu.

Vibuli na ubishi wa wake zetu unasabishwa na sisi wenyewe Kwa mfano unamchepuko na mke anajua, huna muda na familia yako ,matumizi home hamna , ww ni mgonvi daily what do u expect, every time unaingia tu home mind yake itakuwa set kuwa mbaya wake kaja na ana masaa 12 hivi ya kukaa na ww mpk kuche uende Job....

NB: hakuna binadamu asiyependa kupendwa. kupendwa raha
 
Tuishi nao kwa akili tu. Kumpiga mwanamke ni ishaya ya kwamba anakucontrol na maneno yake. Kama ana kero za hapa na pale unamweka wazi tu kwamba akishindwa kuwa na heshima arudi kwao. Ukisema utumie nguvu kupata heshima ya mwanamke, hatakuja kukuheshimu sanasana atakuogopa tu. Na ukimpiga mwanamke lazima atatafuta bega la jamaa mwingine la kulilia na kufutwa machozi, na atakuona unatumia nguvu nyingi kumkeep.
Kikubwa kuishi naye kwa akili kumuonyesha kwamba akishindwa kujua nafasi yake, atarudi kwao tu akaendelee na maisha mengine.
Sometimes pia, sisi wanaume ndiyo chanzo cha matatizo ya kifamilia, mwanamke hawezi kukupigia kelele kama wewe humtendei ndivyo sivyo, tujaribu kuwaelewa wanawake na kuheshimu mawazo yao yenye tija. Vilevile kelele nyingi za mwanamke zinatokana na kutomtoa nyege vizuri, tujifunze kuwat*mba vizuri wake na wapenzi ama wachumba zetu, utaheshimiwa haswa, maana sifa ya kwanza ya uanaume ni kutembeza rungu ipasavyo, yaani unamkuna mwanamke vizuri, mpaka mwenyewe anaridhika. Hata kama ukiyumba kiuchumi ukimt*mba vizuri mke wako atajifunza kukubumilia. Maana anajua akikupoteza huko kwingine ataenda kupapaswa tu na kuachwa na nyege.​
Kijana usifananishe nyege na pesa ndgu yangu shauri yako.

Kwa usaliti wao sikuhizi hata siamini kwenye hilo la kumkuna vizuri mkuu. Sawa ni wajibu ila sio sababu kubwa ya kumbadili tabia zake kama ni mtu wa kelele.
 
Exactly the point, ukishakuwa kichwa hupaswi kupigizana kelele, unaoongoza!

Ndoa yako haina umri wa miaka 3, kuna siku utaelewa tunachosema, jipe mda
Ina miaka miwili
 
Kijana usifananishe nyege na pesa ndgu yangu shauri yako.

Kwa usaliti wao sikuhizi hata siamini kwenye hilo la kumkuna vizuri mkuu. Sawa ni wajibu ila sio sababu kubwa ya kumbadili tabia zake kama ni mtu wa kelele.
🤣🤣🤣Mwanamke hata umpe dunia yote bado hatorizika
 
hapo BOLD hivi kwann mwanamke wa ndoa kabisa jambo unalisema kila siku
mfn mm namuambiaga ukiona maji yamefika Nusu mfano sisi tuna jaba mbili za lita 60 kwa 120 na ndoo za lita 20 km 10 hivi
huwa namuambia ukiona maji yamefika nusu jazia yaani bana wewe anatumia maji mpk zinabaki ndoo mbili 2 na hapo maji yapo uwani kujaza ndani kipengele
basi hilo neno kila siku namuambia ikitoke maji yamekatika na zimebaki ndoo mbili inakuaje?

Kwa nini wewe haujazii hizo ndoo?
 
🤣🤣🤣Mwanamke hata umpe dunia yote bado hatorizika
Ndo ivo mkuu namshangaa jamaa anaesema eti ukiichakata mbunye vyema basi unapunguza tatizo.

Huwezi amini anaweza zama kwa kijana asie na chochote na hata hamfikishi wala nn.
 
Kwa nini wewe haujazii hizo ndoo?
Familia mnagawana majukumu
yeye hayo ni moja ya kati majukumu yake yeye kutokana na dar upatikanaji wa maji DAWASCO
mimi kwa mfano kila ijumaa ni jukumu langu kifua nguo za familia nzima 7bu ndio huwa napumzika JOB
yeye yupo HOME hvyo ni jukumu lake kubwa kuhakikisha maji hayapungui ndani
 
Kama Mungu alikataza wasile tunda ndio kwanza akaenda kumtia ushawishi Adam walile unategemea kuna mtu atamsiklza zaid ya hapo?
 
Familia mnagawana majukumu
yeye hayo ni moja ya kati majukumu yake yeye kutokana na dar upatikanaji wa maji DAWASCO
mimi kwa mfano kila ijumaa ni jukumu langu kifua nguo za familia nzima 7bu ndio huwa napumzika JOB
yeye yupo HOME hvyo ni jukumu lake kubwa kuhakikisha maji hayapungui ndani

Kama asipofanya, hamna shida wewe kufanya zaidi kama Mwanaume, labda anazidiwa siyo mbaya kwenda zaidi ya “majukumu“ na kufanya zaidi kwa Mke wako na mama wa mtoto wako kama unampenda, na ni lazima unampenda vinginevyo usingemchagua kati ya mamilioni uliowaona!
 
Sometimes pia mwanamke kuwa na makelele ni sisi wanaume wenyewe, kwanini ukubali kuanzisha maisha na mtu chenga wakati wapo wanawake wanaoeleweka, mbona kuna watu wana wake zao hakuna hayo makelele, labda kupishana ambacho ni kitu cha kawaida sana.
Mwanamke mtoe nyege, mpe mahitaji muhimu, kifupi tu kutimiza wajibu kama mwanaume, usimletee kero kama atazingua unaangalia utaratibu mwingine.
Tukubaliane tu kuwa hata sisi tuna kasoro zetu kama binadamu zinazoleta hayo makelele, ingawa wanawake wengine chenga tu, anapayuka tu bila sababu.

Mimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,

Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.

As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.
 
Back
Top Bottom