Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

50 Ways To Leave Your Lover

“The problem is all inside your head”
She said to me
“The answer is easy if you
Take it logically
I’d like to help you in your struggle
To be free
There must be fifty ways
To leave your lover”

She said, “It’s really not my habit to intrude
Furthermore, I hope my meaning
Won’t be lost or misconstrued
But I’ll repeat myself
At the risk of being crude
There must be fifty ways
To leave your lover
Fifty ways to leave your lover”

You just slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just get yourself free
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

Ooh, slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just listen to me
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

She said, “It grieves me so
To see you in such pain
I wish there was something I could do
To make you smile again”
I said, “I appreciate that
And would you please explain
About the fifty ways?”

She said, “Why don’t we both
Just sleep on it tonight
And I believe in the morning
You’ll begin to see the light”
And then she kissed me
And I realized she probably was right
There must be fifty ways
To leave your lover
Fifty ways to leave your lover

You just slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just get yourself free
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

Slip out the back, Jack
Make a new plan, Stan
You don’t need to be coy, Roy
Just listen to me
Hop on the bus, Gus
You don’t need to discuss much
Just drop off the key, Lee
And get yourself free

© 1975 Words and Music by Paul Simon
 
Imeandikwa,
Tuishi nao kwa akili na sio maguvu[emoji4]

Kuzuga bar nayo ni akili,

Kwanza baba unawahi nyumbani mapema ukafanye Nini?

Au ndio nyie wababa mnaonyang'anyana remote na mahousegal kuangalia KULFI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama utakuwa muda wako mwingi unaishia Bar,muda wa kuwa na watoto unaupata saa ngapi...?
 
hapo BOLD hivi kwann mwanamke wa ndoa kabisa jambo unalisema kila siku
mfn mm namuambiaga ukiona maji yamefika Nusu mfano sisi tuna jaba mbili za lita 60 kwa 120 na ndoo za lita 20 km 10 hivi
huwa namuambia ukiona maji yamefika nusu jazia yaani bana wewe anatumia maji mpk zinabaki ndoo mbili 2 na hapo maji yapo uwani kujaza ndani kipengele
basi hilo neno kila siku namuambia ikitoke maji yamekatika na zimebaki ndoo mbili inakuaje?
 

Exactly the point, ukishakuwa kichwa hupaswi kupigizana kelele, unaoongoza!

Ndoa yako haina umri wa miaka 3, kuna siku utaelewa tunachosema, jipe mda
 
Duuh yote sawa ila mwanaume kuwa kichwa cha familia ni busara na kuwa upembuzi wa kina juu ya mambo kabla ya maamuzi.
Mwanamke ni kuishi nae kwa upendo na ustaarabu mengine mwachie mungu.

Vibuli na ubishi wa wake zetu unasabishwa na sisi wenyewe Kwa mfano unamchepuko na mke anajua, huna muda na familia yako ,matumizi home hamna , ww ni mgonvi daily what do u expect, every time unaingia tu home mind yake itakuwa set kuwa mbaya wake kaja na ana masaa 12 hivi ya kukaa na ww mpk kuche uende Job....

NB: hakuna binadamu asiyependa kupendwa. kupendwa raha
 
Kijana usifananishe nyege na pesa ndgu yangu shauri yako.

Kwa usaliti wao sikuhizi hata siamini kwenye hilo la kumkuna vizuri mkuu. Sawa ni wajibu ila sio sababu kubwa ya kumbadili tabia zake kama ni mtu wa kelele.
 
Exactly the point, ukishakuwa kichwa hupaswi kupigizana kelele, unaoongoza!

Ndoa yako haina umri wa miaka 3, kuna siku utaelewa tunachosema, jipe mda
Ina miaka miwili
 
Kijana usifananishe nyege na pesa ndgu yangu shauri yako.

Kwa usaliti wao sikuhizi hata siamini kwenye hilo la kumkuna vizuri mkuu. Sawa ni wajibu ila sio sababu kubwa ya kumbadili tabia zake kama ni mtu wa kelele.
🤣🤣🤣Mwanamke hata umpe dunia yote bado hatorizika
 


Kwa nini wewe haujazii hizo ndoo?
 
🤣🤣🤣Mwanamke hata umpe dunia yote bado hatorizika
Ndo ivo mkuu namshangaa jamaa anaesema eti ukiichakata mbunye vyema basi unapunguza tatizo.

Huwezi amini anaweza zama kwa kijana asie na chochote na hata hamfikishi wala nn.
 
Kwa nini wewe haujazii hizo ndoo?
Familia mnagawana majukumu
yeye hayo ni moja ya kati majukumu yake yeye kutokana na dar upatikanaji wa maji DAWASCO
mimi kwa mfano kila ijumaa ni jukumu langu kifua nguo za familia nzima 7bu ndio huwa napumzika JOB
yeye yupo HOME hvyo ni jukumu lake kubwa kuhakikisha maji hayapungui ndani
 
Kama Mungu alikataza wasile tunda ndio kwanza akaenda kumtia ushawishi Adam walile unategemea kuna mtu atamsiklza zaid ya hapo?
 

Kama asipofanya, hamna shida wewe kufanya zaidi kama Mwanaume, labda anazidiwa siyo mbaya kwenda zaidi ya “majukumu“ na kufanya zaidi kwa Mke wako na mama wa mtoto wako kama unampenda, na ni lazima unampenda vinginevyo usingemchagua kati ya mamilioni uliowaona!
 

Mimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,

Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.

As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…