Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

Hata mi nimesiliza hiyo interview sikuelewa. Banana anasema marehemu kapata ajali 10 minutes drive from her home. Meaning ni jirani kiasi.

Then mume anasema alipigiwa simu then naye akampigia RTO. Mara akaambiwa tulia usitoke. Na yeye akapumzika mpaka sa 12 asbh Banana alivyokuja.

Najiuliza, unawezaje kuwa na ujasiri wa kupumzika wakati hujui hatma ya mkeo huko alipo na umeshaambiwa kapata ajali mbaya? Simjudge ila nahisi something is not right
 
Ni Binadamu wa ajabu kuwahi kumsikia, Nungependa kujua malezi ya huyu Jamaa yalikuwaje. Hawezi kuwa kalelewa na Baba
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Aisee ni Ajabu sana, na Jamaa anaongea kabisa na Mashavu yamejaa anafurahia maswali ya Waandishi wa Habari.
 
Nimemsikiliza ni kama nimeshindwa kumuelewa, kweli wewe mwenzako mama ya watoto wako yuko katika hali mbaya ya umauti wewe unaambiwa pumzika mpaka asubuhi na roho yako inakutuma sawa?

Hata kama amefariki ni mimi natakiwa niwe pale, ni mimi hata kama kumuingiza mortuary ni mimi, hii nchi kuna family zinaishi kwa style huwezi ku imagine.

Hizi tabia mtu umefiwa tu kweli unapata nguvu gani ya kuongea na media? za nini? kwani kuwaambia samahani ndugu zangu mimi nimefiwa kuna mtu ataongea mambo ya taratibu kwa sasa naomba privacy kuna mimi kuna watoto hapa. Tuko speed na media uchwara kuuza sura. shame
 
Asante saana!
 
Reactions: Qwy
Ungindoni sehemu ya ajali ni karibu na nyumbani kuliko Kingaz alikokuwa mdogo wake.. Lakini kamtuma dogo yeye kabaki home[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nyie si mnaangalia hela jamaa hela anazo kama alimwambia aache kuimba akakubali basi jua huyo mume wake sio kapuku halafu ukiangalia mda aliopata ajali unagundua kuna kitu hakipo sawa mke wa mtu saa nne hujarudi nyumbani upo bar kweli inamaana hawakuwa na mawasiliano mazuri
Endeleeni kuangalia wenye pesa matokeo yake ndio hayo.
 
Nahisi mambo hayakuwa sawa, huwezi kusikia mwenzako wa dhati awe kaka, mdogo, mwanao, dada, shangazi, mama mzazi, mkeo n.k usikie kapata ajali sehemu kisha usijisumbue kwenda.

Si kawaida,hata kama walikuwa na ugomvi ilibidi afike tu, wanaishi toangoma, mkewe kapata ajali ungindoni ni kweli umbali wa dk 10-20 kutegemea na toangoma ipi,sasa ilikuwaje akashindwa kwenda.
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Mfano Kifo cha Osinachi kimenisikitisha sana, kuna mambo hatutakiwi kuyavumilia maana yanatupeleka kwenye mauti
 
Kampigia mdogo wake alikuwa Kingaz aende .. Toka Kingaz njia ya kwenda Mbagala kule kwenye magorofa ya NSSF mpaka ungindoni just imagine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…