Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe.

Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Mke ndo anakuwa wa mtu, mwanaume hana limit ya idadi ya wanawake........chukulia mfano wa mfalme suleiman aliyekuwa na wanawake na michepuko 700, tuambie mwenye mme alikuwa ni nani hasa....
 
Back
Top Bottom