katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Umeoa kanisani ila kweli maisha ni mduara.
Unaingia kwa mdada na pete ya ndoa kwenye geto lake unamla bila wasiwasi unajisifu kuwa wewe ni malaya mzoefu unafuliwa mpaka nguo unamnunulia vitu vya gharama what?😟😪 yaani hadi aibu .
Sijui hata kama kwako unamlipia vyote kama hivi mkeo , sijui wa mpa attention kama unavyompa mkeo.
Acha maisha yaende ila kuna siku utajitia tu. Unamlipia mchepuko nyumba self contained na unaacha mkeo na watoto wako double na nichoo njee.
Sijui lengo lenu hasa nini? Mnajisifia mnafamilia ila kiukweli kula ni kazi, kuvaa ni kazi, kuishi ni kazi. Maisha ni magumu sana, halafu unataka mama asichepuke.
Hii bi dhambi kwa wanaume kama huachi hii tabia basi usioe kuliko kunyanyasa watu wasio na hatia.
AIBUU KWA WEWE ULIYENATABIA HII.
DIAMOND ANAYO