Mume wa mtu kweli kwa hili huna haya

Mume wa mtu kweli kwa hili huna haya

Hapana si muogopi kihivyoo ni mzee hana muda wakutesana na mimi.
Mume wangu ni yupo hivi hakuongeleshi wala nini anafanya tu.
Na wala haniumizi naweza kuwa huru wakati wowote na akiniuzi nasema rejea post zangu.
"Hakuoengeleshi wala nini anafanya tu"
Hiyo kauli uliyo iandika hapo inaonekana bad Kuna tatzo kweny ndoa yako
 
Wanawake wenzagu tufanyeni kazi tuache kuwa tegemezi hivyo vyote ulivyotaja katoto ni vitu vidogo sana kwa mwanamke mwenye kujitafutia mwenyew furaha yako itengeneze mwenyewe kwanza..hakuna jipya hapo yot ya kawaida sanaaaaaaaaa
Well said....
 
Tunza familia kwanza halafu makapi later
Hapo kwenye kuonaga wenzenu makapi ndio mnapokosea,kiss ndoa Basi ndio unajisahaaau eti Mimi ni familia lazima anitunze hamjipendi tena,akifika home vululuvululu hapaeleweki Sasa kwa nini asiende kwa hayo unayoita makapi akabebishwe huko.sometimes sisi ni chachu ya huo upuuzi wao
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wale wanaowala wadada kwenye hayo unayosema mageto yao

lakini nyumbani wameacha vyakula vya kusaza,hela za kuchota

nyumba aliyopangiwa mke wa ndoa ni kali mara 8 ya mchepuko

wanaume hao nao unawaambiaje? au na wao Hawana haya pia?!
 
Ni kosaa badoo
 
Back
Top Bottom