Mume wa mtu kweli kwa hili huna haya

Mume wa mtu kweli kwa hili huna haya

Hakika afanyayo Mume wa mtu si vyema
 
Kwahiyo yupo humu jf huyo mume wa mtu [emoji1787] aje apate ujumbe wake
 
Wanawake wenzagu tufanyeni kazi tuache kuwa tegemezi hivyo vyote ulivyotaja katoto ni vitu vidogo sana kwa mwanamke mwenye kujitafutia mwenyew furaha yako itengeneze mwenyewe kwanza..hakuna jipya hapo yot ya kawaida sanaaaaaaaaa
Asante mama
 
Niliomba ruhusa kwa mume wangu na kwenda kumsalimia best yangu ni muda sasa sijamuona kwetu ni ndugu huyo dada hana mume anawatoto tu.
So she is a single mother.
Sasa kapanga dah pale alipopanga kama danguro those ladies men yaani wanajaza wanaume za watu kama nini .
Utazani kituo cha basi na wanavyotretiwa hutosema ni malaya nope .
Wanafanyiwa vitu special ambavyo hata kwa maisha ya sasa ni ngumu.
Ila najua asilimia 100 hao hawafanyi makwao.

Ndio kimeniuma
Umeolewa..?
 
Back
Top Bottom