katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Anywe maji mengi kwanza.relax kwanza......nini shida mama
Ahsante mama.Wanawake wenzagu tufanyeni kazi tuache kuwa tegemezi hivyo vyote ulivyotaja katoto ni vitu vidogo sana kwa mwanamke mwenye kujitafutia mwenyew furaha yako itengeneze mwenyewe kwanza..hakuna jipya hapo yot ya kawaida sanaaaaaaaaa
Niliomba ruhusa kwa mume wangu na kwenda kumsalimia best yangu ni muda sasa sijamuona kwetu ni ndugu huyo dada hana mume anawatoto tu.relax kwanza......nini shida mama
Niliomba ruhusa kwa mume wangu na kwenda kumsalimia best yangu ni muda sasa sijamuona kwetu ni ndugu huyo dada hana mume anawatoto tu.Anywe maji mengi kwanza.
Mtu wa mwanza ushatoka DSM?relax kwanza......nini shida mama
Najua ila sio uone active vikitendeka huwwzi kaa nafasi ya baba kamwe .Wanawake wenzagu tufanyeni kazi tuache kuwa tegemezi hivyo vyote ulivyotaja katoto ni vitu vidogo sana kwa mwanamke mwenye kujitafutia mwenyew furaha yako itengeneze mwenyewe kwanza..hakuna jipya hapo yot ya kawaida sanaaaaaaaaa
Sijawahi vuaga pete kisa nani?huwa tunawaambia wavue pete ili tusiwajue kwamba ni wake za watu
Tunza familia kwanza halafu makapi laterNdiyo namna pekee pesa itazunguka mtaani
stress za huyo billionare na mama wa nyumbani katika mapenzi ni tofauti my dearNajua ila sio uone active vikitendeka huwwzi kaa nafasi ya baba kamwe .
Hata uwe bilionea mwanaume lazima aitunze familia yake ndio maana alioa na akapata familia.
Kwa hili hapana sikuungi mkono.
kwa kweliAnywe maji mengi kwanza.
Mume wangu hana shida hizo ni wanawake wanampenda na kudata wakimwona nimezoea .Daaah...! Wewe binti nani amekuambia ukimbilie ndoa. Siku hizi hukosi hapa ubaoni kulialia kuhusu mwamaume wako.
pole sana dear......maisha haya ya sasa mambo mengine ni kuyaacha kama yalivyo wanasema baya lisilodhuru ni sawa na jema lisilo na faida so relax mamy....Niliomba ruhusa kwa mume wangu na kwenda kumsalimia best yangu ni muda sasa sijamuona kwetu ni ndugu huyo dada hana mume anawatoto tu.
So she is a single mother.
Sasa kapanga dah pale alipopanga kama danguro those ladies men yaani wanajaza wanaume za watu kama nini .
Utazani kituo cha basi na wanavyotretiwa hutosema ni malaya nope .
Wanafanyiwa vitu special ambavyo hata kwa maisha ya sasa ni ngumu.
Ila najua asilimia 100 hao hawafanyi makwao.
Ndio kimeniuma