katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
-
- #21
Baba ni kichwa cha familia aleee watoto ndio maana mnadharaulika wanawake kwa maana mnakaa kwenye hili group .stress za huyo billionare na mama wa nyumbani katika mapenzi ni tofauti my dear
Umenifananisha 🙄🙄
Ila kama mke wa mtu hili liliniuma nikakosa pozi la kuishi hapo .pole sana dear......maisha haya ya sasa mambo mengine ni kuyaacha kama yalivyo wanasema baya lisilodhuru ni sawa na jema lisilo na faida so relax mamy....
Mume anauma 😂😂😂pole dear duniani kuna mengiIla kama mke wa mtu hili liliniuma nikakosa pozi la kuishi hapo .
WeweeUnapenda kutulalamikia
Mi bado nasomaTunza familia kwanza halafu makapi later
Kwa nini hujamshauri na kumuongoza best yako ahame hapo? Yeye ni mama eneo hilo halifai kwa makuzi ya watoto.Niliomba ruhusa kwa mume wangu na kwenda kumsalimia best yangu ni muda sasa sijamuona kwetu ni ndugu huyo dada hana mume anawatoto tu.
So she is a single mother.
Sasa kapanga dah pale alipopanga kama danguro those ladies men yaani wanajaza wanaume za watu kama nini .
Utazani kituo cha basi na wanavyotretiwa hutosema ni malaya nope .
Wanafanyiwa vitu special ambavyo hata kwa maisha ya sasa ni ngumu.
Ila najua asilimia 100 hao hawafanyi makwao.
Ndio kimeniuma
tuendelee kunawa na maji tiririka katoto kazuri🙂🙂Baba ni kichwa cha familia aleee watoto ndio maana mnadharaulika wanawake kwa maana mnakaa kwenye hili group .
Nafasi ya baba na sio yako.
Na ndio maana ataenda kula nje na kutunza njee endeleeni.
Mnavyopenda mteremko mtaweza? nenda telegram uone thamani ya mwanamke inavyoshuka kuna grupu linaitwa Chura hatari sana.Wanawake wenzagu tufanyeni kazi tuache kuwa tegemezi hivyo vyote ulivyotaja katoto ni vitu vidogo sana kwa mwanamke mwenye kujitafutia mwenyew furaha yako itengeneze mwenyewe kwanza..hakuna jipya hapo yot ya kawaida sanaaaaaaaaa
Umenipa wazo zuri nitamwambia ahame hapo sio nzuri kwa malezi ya watoto .Kwa nini hujamshauri na kumuongoza best yako ahame hapo? Yeye ni mama eneo hilo halifai kwa makuzi ya watoto.
Mafumbo sie sio waswahili sie ni wa masaiUsilaumuu upandee mmojaaa sasaa tambuaa bila tairiii garii haliendi lakinii tairiii lawezaa kwendaa bila garii japo sio sanaaa
Hapo siwezi ongea ni maisha tuMnavyopenda mteremko mtaweza? nenda telegram uone thamani ya mwanamke inavyoshuka kuna grupu linaitwa Chura hatari sana.
Hapana si muogopi kihivyoo ni mzee hana muda wakutesana na mimi.Inaonekana unanyanyaswa sana kweny ndoa yak na unastress balaa ila unaandika uzi kam vle unamsemea mtu mwngne,,,
Usije tafuta chumba na we ukaunga mkono hoja ohooo!Niliomba ruhusa kwa mume wangu na kwenda kumsalimia best yangu ni muda sasa sijamuona kwetu ni ndugu huyo dada hana mume anawatoto tu.
So she is a single mother.
Sasa kapanga dah pale alipopanga kama danguro those ladies men yaani wanajaza wanaume za watu kama nini .
Utazani kituo cha basi na wanavyotretiwa hutosema ni malaya nope .
Wanafanyiwa vitu special ambavyo hata kwa maisha ya sasa ni ngumu.
Ila najua asilimia 100 hao hawafanyi makwao.
Ndio kimeniuma
...akikuuzi unasema rejea post zangu!? Hebu Vuta hewa kwa nguvu ndani afu uitoe Tena, relax, weka vituo Mama! By the way, unaonekana ni mke anayejitambua! Keep it up!Hapana si muogopi kihivyoo ni mzee hana muda wakutesana na mimi.
Mume wangu ni yupo hivi hakuongeleshi wala nini anafanya tu.
Na wala haniumizi naweza kuwa huru wakati wowote na akiniuzi nasema rejea post zangu.