Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

We TAMKO baada ya kuchwana kule kuwa Gwajima anahusika ndo unakuja kuanzisha uzi huku.....

Gwajima ndo injinia wa kuua ndoa ya Flora....Gwajima ndo alikuwa anamla Flora....

MUNGU akusamehe hujui usemalo
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Hummer ameshaona kuwa heshima yake mtaani ipo mashakani imebidi aje kujisafisha.... ha ha ha.... najaribu kuufikiria mgegedo wa mzee wa hummer, sijui atakuwa na muhogo kama wangu au kibamia.... ha ha ha
 



Mkuu usichanganye ku act Ze Comedy kanisani na real life. Wewe hujuwi kinachowasibu hawa watu wanaporudi nyumbani kwao baada ya ku act Ze Comedy yao makanisani na mbele ya kadamnasi. Wale ni wapenzi na kumbuka pia Flora alishatembea na Gwajima, hivyo kama mume alimgeuzia kibao Flora na kumdanganya nilifanya vile ili kulipiza kisasi kwa wewe kutembea na Gwajima na wakayamaliza wenyewe kwa wenyewe kisha kurudi kanisani kuendelea kuwadanganya nyie mliwao, sitoshangaa. Mapenzi ni kitu kingine hivyo usikurupuke tu kuandika eti kwa sababu umewaona kanisani wanaimba na kushikana viuno huku wakiyaruka mayenu na nyinyi mnashangilia na kuwatoza pesa. Ogopa sana watu wanaojifanya wapenzi wa dini for they are capable of doing evil things at any given moment. Kumbuka binadam ni kiumbe dhaifu sana na tupo hapa kila kukicha ndani ya mtihani na majaribio mengi tu toka kwa kijana shetani. Upo hapooooo?
 
hatari kweli kwelili huyo bimama hana watoto kweli kama anao baaaasii ni wa gwajima munyama
 
Mzee wa Hummer ameshaona kuwa heshima yake mtaani ipo mashakani imebidi aje kujisafisha.... ha ha ha.... najaribu kuufikiria mgegedo wa mzee wa hummer, sijui atakuwa na muhogo kama wangu au kibamia.... ha ha ha

Hii movie tamu sana, yani wakimchafua Mbasha na G anachafuka, kwa hiyo wanahaha kumsafisha ili na G atakate.
Na tuache movie iendelee!
 
Mungu ponya kanisa lako linaangamia uuuh!
 
Kwahiyo Hata Taarifa Ya Kamanda Wa Polisi Maerita Ni Za Uzushi? Hata Rb Namba Ya Polisi Nayo Ni Uzushi? Kwahiyo Hata Sauti Iliyorekodiwa Mbasha Akimuomba Msamaha Nayo Ni Uongo? Kwahiyo Hata Mdogo Wake Na Mbasha Alipoenda Kuonana Na Mhariri Wa Magazeti Ili Habari Isiandikwe Magazetini Kwani Suala Hilo Wanalijadili Kifamilia Nalo Ni Uongo? Hv Kwanini Usiseme Baada Ya Kuona Mch. Gwajima Nae Alikuwa Anaingia Hatiani Kutokana Na Kitendo Chake Cha Kumpangia Hotelini Frola Sasa Ameamua Kuzima Soo Kwa Kutoa Rushwa Kumaliza Kiaina Huko Polisi?Kwamba Vikao Vya Kifamilia Vimekaa Na Kumariza Kiaina?
 
Fulo mchafu, nilipewaga tahadhari kitambo.
 
Jamani naeza pata wapi link ya kuona jinsi alivyojitetea!@/@^!&
 
Wanaume wengine wanabaka house girls na mashemeji kila kukicha sema tu media haijawaandika. Ambaye hajaitenda ndoa yake na mchepuko wa aina yoyote na anyanyue jiwe ampige Mbasha.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.!
 
hayo ya mungu wewe kaisari jadili mambo ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…