We TAMKO baada ya kuchwana kule kuwa Gwajima anahusika ndo unakuja kuanzisha uzi huku.....
Gwajima ndo injinia wa kuua ndoa ya Flora....Gwajima ndo alikuwa anamla Flora....
MUNGU akusamehe hujui usemalo
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We TAMKO baada ya kuchwana kule kuwa Gwajima anahusika ndo unakuja kuanzisha uzi huku.....
Gwajima ndo injinia wa kuua ndoa ya Flora....Gwajima ndo alikuwa anamla Flora....
Na wewe ni mbwakwaji??wabakaji wakubwa ninyi,,.
Mi nimesikia ni Pengo
Wiki Hili mitandao, magazeti, na majukwaa ya watu wasio na KaZi wanaoishi Kwa kushiba majungu na umbea hasa inshu za Ndani ya nguo, wameshibishwa Bonge la Uongo unaohusiana na mambo ya kubaka hasa wakituhumu mume wa Mwimbaji huyu mashuhuri Flora Mbasha.
Wakiwa wenye Furaha Flora Mbasha na Mumewe wameonekana wakiimba Ndani ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Kwa Firaha wakigongana Kwa staili ile Yao maarufu. Baadhi ya watu tulipigwa mshangao na shutuma kali kabisa juu Yao. Na bila kupoteza Muda Mara Baada ya Ibaada tuliwakimbilia Kujua kulikoni na kuwakuta wakicheka HATA huyo mbakwa mwenyewe yupo ana furaha zake. Tulipohoji kulikoni wakatuambia HATA Uvumi usio na ukweli juu ya mzee wa liliondo uliwafanya HATA viongozi wa Nchi kutimkia huko wakiamini kubugia kikombe Cha maji machafu yasoyochemshwa eti kutawaponya ukimwi, Nchi Hii maarufu ambayo Siasa na matukio ya uvumi Ndiyo yanayopewa kipaumbele na kuongoza jamii kubwa ya wajinga.
Hadi naondoka Kwenye viwanja hivi najiuliza maswali mengi bila majibu, Nani katengeneza Uvumi huu na Kwa nini?!?. Kama Ni Flora na Mumewe ili iweje au Ni Gia ya kuwapaisha Kwenye chati tena manake ukitaka Kuwa maarufu Kwenye Nchi ya wajinga jisingizie mambo ya chupini lazima utakamata Akili Za maelfu ya wajivuni. Kama ni Adui wa Flora WHY?!? ..
Nikajikuta najiapiza kutofuatilia ujinga na upuuzi Kama huu tena. Bora nifanye KaZi Kwa bidii kuifanya familia yangu iende Chooni sio kung'ang'ana na UZUSHI naonekana kuku tu..
RIP mama Zitto Kabwe..tuko pamoja na Wewe Kamanda Zitto..
mchepuko wangu masai dada umepita hapa?
Mzee wa Hummer ameshaona kuwa heshima yake mtaani ipo mashakani imebidi aje kujisafisha.... ha ha ha.... najaribu kuufikiria mgegedo wa mzee wa hummer, sijui atakuwa na muhogo kama wangu au kibamia.... ha ha ha