Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ishu nzima unaielewa vizuri? Anyway hongereni kwa mipango yenu lakini naona kama huu umeangukia pua vile...
Mkuu huyo Gamanywa katoka wapi tena, mbona anayeongelewa hapa ni Gwajima?
I love my religion.catholics church
Bye bye flora utaanguka kama ukuta wa belin
Kufuatia kukumbwa na kashfa nzito ya kudaiwa kutembea na kiongozi mkubwa wa kanisa pamoja na kutaka kushiriki katika njama za kumfunga mume wake, waandaaji wa huduma na mikutano mbalimbali ya kilokole, wanasema hawamuhitaji tena Flora Mbasha katika mikutano yao.. Hoja yao ni kwamba, waumini wa makanisa ya kilokole wamelipokea suala la kashfa ya Flora kwa uzito mkubwa sana na amekosa kibali cha Bwana machoni pao..Hii ni changamoto kubwa sana kwa Flora Mbasha na kama kinachosemwa kina ukweli ndani yake basi hana budi kukaa vizuri na Mungu wake.
Atauza HAMMER! hata mkifunga mzee wa hammer yupo.
(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injiliKufuatia kukumbwa na kashfa nzito ya kudaiwa kutembea na kiongozi mkubwa wa kanisa pamoja na kutaka kushiriki katika njama za kumfunga mume wake, waandaaji wa huduma na mikutano mbalimbali ya kilokole, wanasema hawamuhitaji tena Flora Mbasha katika mikutano yao.. Hoja yao ni kwamba, waumini wa makanisa ya kilokole wamelipokea suala la kashfa ya Flora kwa uzito mkubwa sana na amekosa kibali cha Bwana machoni pao..Hii ni changamoto kubwa sana kwa Flora Mbasha na kama kinachosemwa kina ukweli ndani yake basi hana budi kukaa vizuri na Mungu wake.
Nani ana ujasiri wa kumufukuza huyo?? wakati wote ni kundi moja?Itabidi ajiuzuru mwenyewe kanisani kabla ya kufukuzwa kwa sababu kitendo alichofanya, adhabu yake inatakiwa ajinyonge mwenyewe.
(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injili
(2) Waimbaji wengi wa nyimbo za injili wanajiita wasanii wa nyimbo za injili . Kiuhalisia mbele za Mungu huwezi ukamfanyia Mungu Usanii matokeo yake ni hiyo Zinaa imewekwa hadharani
(3)Nitajie Msanii wa injili ambaye hana kashfa ya zinaa !!Mlezi wa Kundi hili ni Mama Rwakatare!!Kila Mwimbaji wa Ijili anayekuwa karibu na Mama Rwakatare lazima agombane na mumewe!! Kwa Kuwa mafundisho yake ni hayo!
(4) Waimbaji wa injili warudi nyuma na kutafakali ni nani wanayemtumikia?? Mavazi yenu na mienendo yenu haina tofauti na makahaba