Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
flora nampenda sana kipindi yupo london nimefurahi naye sana
Mkuu hebu tufafanulie ulfurahi nae kivipi???? Weww ni me au ke????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
flora nampenda sana kipindi yupo london nimefurahi naye sana
(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injili
(2) Waimbaji wengi wa nyimbo za injili wanajiita wasanii wa nyimbo za injili . Kiuhalisia mbele za Mungu huwezi ukamfanyia Mungu Usanii matokeo yake ni hiyo Zinaa imewekwa hadharani
(3)Nitajie Msanii wa injili ambaye hana kashfa ya zinaa !!Mlezi wa Kundi hili ni Mama Rwakatare!!Kila Mwimbaji wa Ijili anayekuwa karibu na Mama Rwakatare lazima agombane na mumewe!! Kwa Kuwa mafundisho yake ni hayo!
(4) Waimbaji wa injili warudi nyuma na kutafakali ni nani wanayemtumikia?? Mavazi yenu na mienendo yenu haina tofauti na makahaba
Umenikumbusha kile kibao cha 'Namlilia Malebo' alichoimba Munishi.Muimbaji INJILI Tz alikuwa Munishi tu, wengine wote wanacheza makida makida...
Da halafu wanaiabisha sana familia ya Mzee Kulola. Do you know Flora Mbasha ni mjukuu wa Hayati Askofu Kulola?. Nawachukia sana watu wanao toka nje ya ndoa. Wanaharibu utaratibu wa Mungu. Hawa ni wahalifu wa mifumo ya kijamii.
Bye bye flora utaanguka kama ukuta wa belin
Walokole kwa uzinzi na majungu
Hivi kwa mfano Mr. Mbasha akichukua mvua 30, vipi yule mrembo Frola si tutaruhusiwa kuoa?.
Huyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...
flora nampenda sana kipindi yupo london nimefurahi naye sana
Asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Da halafu wanaiabisha sana familia ya Mzee Kulola. Do you know Flora Mbasha ni mjukuu wa Hayati Askofu Kulola?. Nawachukia sana watu wanao toka nje ya ndoa. Wanaharibu utaratibu wa Mungu. Hawa ni wahalifu wa mifumo ya kijamii.
Bluetooth..Wanatisha kwa hilo..japo wanatumia mgongo wa Mungu kujificha....me nna ndg yangu mlokole haswaa kabeba mimba nikashangaa si mlokole wewe...sijui imeingilia puani via maombi
mmmmh wewe ni muhumini wa hayo makanisa?
Tamko hilo walilitolea wapi na lini?
(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injili
(2) Waimbaji wengi wa nyimbo za injili wanajiita wasanii wa nyimbo za injili . Kiuhalisia mbele za Mungu huwezi ukamfanyia Mungu Usanii matokeo yake ni hiyo Zinaa imewekwa hadharani
(3)Nitajie Msanii wa injili ambaye hana kashfa ya zinaa !!Mlezi wa Kundi hili ni Mama Rwakatare!!Kila Mwimbaji wa Ijili anayekuwa karibu na Mama Rwakatare lazima agombane na mumewe!! Kwa Kuwa mafundisho yake ni hayo!
(4) Waimbaji wa injili warudi nyuma na kutafakali ni nani wanayemtumikia?? Mavazi yenu na mienendo yenu haina tofauti na makahaba
Nakuwa wa kwanza kupeleka maombi yangu!