Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injili
(2) Waimbaji wengi wa nyimbo za injili wanajiita wasanii wa nyimbo za injili . Kiuhalisia mbele za Mungu huwezi ukamfanyia Mungu Usanii matokeo yake ni hiyo Zinaa imewekwa hadharani
(3)Nitajie Msanii wa injili ambaye hana kashfa ya zinaa !!Mlezi wa Kundi hili ni Mama Rwakatare!!Kila Mwimbaji wa Ijili anayekuwa karibu na Mama Rwakatare lazima agombane na mumewe!! Kwa Kuwa mafundisho yake ni hayo!
(4) Waimbaji wa injili warudi nyuma na kutafakali ni nani wanayemtumikia?? Mavazi yenu na mienendo yenu haina tofauti na makahaba

very strong message!
 
Da halafu wanaiabisha sana familia ya Mzee Kulola. Do you know Flora Mbasha ni mjukuu wa Hayati Askofu Kulola?. Nawachukia sana watu wanao toka nje ya ndoa. Wanaharibu utaratibu wa Mungu. Hawa ni wahalifu wa mifumo ya kijamii.

Vipi amesharudisha Pete ya Mbasha? Anatumia ID gani tu apply mzigo?
 
huku Emannuel mbasha akijiandaa kwenda jela kwa kosa la ubakaji ,
MCHUNGAJI DANIEL MWASUMBI wa KANISA LA EAGT aliyekuwa pia muimbaji maarufu wa nyimbo za injili ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela mwaka jana kwa kosa kama analotuhumiwa mbasha "UBAKAJI" ameachiliwa huru baada ya kuonekana kutofuatwa kikamilifu kwa taratibu za kimahakama na za utoaji ushahidi.

naomba kuwasilisha
 
Walokole kwa uzinzi na majungu

Wanatisha kwa hilo..japo wanatumia mgongo wa Mungu kujificha....me nna ndg yangu mlokole haswaa kabeba mimba nikashangaa si mlokole wewe...sijui imeingilia puani via maombi
 
Huyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...

Hivi unajua kesi ya kubaka haina Dhamana? yani ni kama Murder Case. Yeye acha akimbie tu ili kama itabainika hana hatia asiwe amenyea debe
 
Wewe ni nani hadi uhukumu????eti tunamtenga???hatumuhitaji???sisapot kwa chochote kibaya Flora alichomtendea mumewe...bt na aliemkamilifu asimame....watu wamejaa unafiki mbele ya macho ya Mungu na binadamu pia....du kweli pata pigo ndio utaona binadamu walivyona roho mbaya.
 
Da halafu wanaiabisha sana familia ya Mzee Kulola. Do you know Flora Mbasha ni mjukuu wa Hayati Askofu Kulola?. Nawachukia sana watu wanao toka nje ya ndoa. Wanaharibu utaratibu wa Mungu. Hawa ni wahalifu wa mifumo ya kijamii.

Mbona mjukuu mmoja wa kulola anaitwa meris...mi nimegonga sana. Tena alikuwa anapenda ngono balaa hata dada yake pia nimepiga yaani wakijua ndugu yao anatembea na mtu atafanya kila awezalo naye akuonje. Yanayoendelea mi siyashangai Hao ni kawaida yao kama wana laana ya ngono.
 
Mimi nilidhani watamuita na kumuombea pepo atoke.
 
Wanatisha kwa hilo..japo wanatumia mgongo wa Mungu kujificha....me nna ndg yangu mlokole haswaa kabeba mimba nikashangaa si mlokole wewe...sijui imeingilia puani via maombi
Bluetooth..
 
(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injili
(2) Waimbaji wengi wa nyimbo za injili wanajiita wasanii wa nyimbo za injili . Kiuhalisia mbele za Mungu huwezi ukamfanyia Mungu Usanii matokeo yake ni hiyo Zinaa imewekwa hadharani
(3)Nitajie Msanii wa injili ambaye hana kashfa ya zinaa !!Mlezi wa Kundi hili ni Mama Rwakatare!!Kila Mwimbaji wa Ijili anayekuwa karibu na Mama Rwakatare lazima agombane na mumewe!! Kwa Kuwa mafundisho yake ni hayo!
(4) Waimbaji wa injili warudi nyuma na kutafakali ni nani wanayemtumikia?? Mavazi yenu na mienendo yenu haina tofauti na makahaba

umesahau na minywele yao inavyokuwa tena huyu mwenye jina la mama yangu loh ndiyo hafai kabisaaa(Flora) na miwanja yake mpaka kwenye sikio
 
hivi kwani wahusika wamekiri kuhusu hizi tuhuma hadi hao waandaaji watoe tamko naomba kujuzwa tafadhali.
 
Back
Top Bottom