Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kufuatia kukumbwa na kashfa nzito ya kudaiwa kutembea na kiongozi mkubwa wa kanisa pamoja na kutaka kushiriki katika njama za kumfunga mume wake, waandaaji wa huduma na mikutano mbalimbali ya kilokole, wanasema hawamuhitaji tena Flora Mbasha katika mikutano yao.

Hoja yao ni kwamba, waumini wa makanisa ya kilokole wamelipokea suala la kashfa ya Flora kwa uzito mkubwa sana na amekosa kibali cha Bwana machoni pao.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa Flora Mbasha na kama kinachosemwa kina ukweli ndani yake basi hana budi kukaa vizuri na Mungu wake.
 
Bye bye flora utaanguka kama ukuta wa belin

Da halafu wanaiabisha sana familia ya Mzee Kulola. Do you know Flora Mbasha ni mjukuu wa Hayati Askofu Kulola?. Nawachukia sana watu wanao toka nje ya ndoa. Wanaharibu utaratibu wa Mungu. Hawa ni wahalifu wa mifumo ya kijamii.
 

Atauza HAMMER! hata mkifunga mzee wa hammer yupo.
 
Itabidi ajiuzuru mwenyewe kanisani kabla ya kufukuzwa kwa sababu kitendo alichofanya, adhabu yake inatakiwa ajinyonge mwenyewe.
 
(1) Hao waandaaji wa Mikutano walikuwa wanamtumia Flora Mbasha kucheza na kuvaa nusu uchi ili awavute watu kwa shetani na si injili
(2) Waimbaji wengi wa nyimbo za injili wanajiita wasanii wa nyimbo za injili . Kiuhalisia mbele za Mungu huwezi ukamfanyia Mungu Usanii matokeo yake ni hiyo Zinaa imewekwa hadharani
(3)Nitajie Msanii wa injili ambaye hana kashfa ya zinaa !!Mlezi wa Kundi hili ni Mama Rwakatare!!Kila Mwimbaji wa Ijili anayekuwa karibu na Mama Rwakatare lazima agombane na mumewe!! Kwa Kuwa mafundisho yake ni hayo!
(4) Waimbaji wa injili warudi nyuma na kutafakali ni nani wanayemtumikia?? Mavazi yenu na mienendo yenu haina tofauti na makahaba
 
flora nampenda sana kipindi yupo london nimefurahi naye sana
 
Itabidi ajiuzuru mwenyewe kanisani kabla ya kufukuzwa kwa sababu kitendo alichofanya, adhabu yake inatakiwa ajinyonge mwenyewe.
Nani ana ujasiri wa kumufukuza huyo?? wakati wote ni kundi moja?
 
mmmmh wewe ni muhumini wa hayo makanisa?
Tamko hilo walilitolea wapi na lini?
 
Matatizo yakikuandama yanakuandama kweli....Pole yake..naamini baba mchungaji atampiga tafu akaimbie london nyimbo Zake
 

Muimbaji INJILI Tz alikuwa Munishi tu, wengine wote wanacheza makida makida...
 
kiukweli hawa viongozi wa makanisa makubwa makubwa miaka nenda rudi wamekuwa ni watu wa matukio tofauti na mahubiri yao.Sitegemei huyo mzee wa hammer (polen wote mnao mwita mchungaji) atakuja kanusha hizi taka taka zake.Yaan mna fanya unyumba wee mpaka mnanukia uchi uchi na bado mnapiga magoti kuomba kwa Bwana na kuwaombea wengine?Au mnajihalalishia kwa sababu hata Mfalme daudi alilala na mke wa mtumishi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…