Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Wakati sakata la Flora likiendelea, bwana wake Mbasha amefunguka kwenye redio na kusema anasikitika sana mkewe kutaka kumfunga ili aendelee na uhuni wake na jamaa mmoja ambae anasema ni kigogo serikalini wakati wengi wakiongea mara Gwajima mara nani.

Mbasha amefunguka na kusema anajua mchezo mzima na aliepanga hilo na akasema hata akifungwa miaka 30 akitoka ni lazima afe na huyo kigogo liwalo.

Mbasha akaenda zaidi na kusema kuwa tokea zamani mkewe amekuwa akitongozwa na wakubwa na kumwambia mtu fudenge anataka tunda lake lakini tangu alipoanza kutukanana nae kuhusu huyo kigogo ameamua soln ni kumnyima tunda.

Sasa ameamua amfunge ili aendeelee na uhuni wake. Naamini Gwajjima atapumzika kwa statement hiyo na wengine waliohusishwa na Flora.

Nilisema na nitarudia tena sakata zima la Flora na mumewe ni wawili tu ndio wanajua chanzo na upumbavu unaoendelea juu yakee.

Akafunguka mtoto huyo wanaesema nimembaka nimemtoa mwenye kijijini na hata wanavyosema ana miaka 17 si kweli ..waende shule aliyosoma ama waangalie kadi yake ya kuzaliwa ana miaka 19.


Ujue hata mchezo wanaocheza hawana uhakika wanachoongea mwisho wa siku nawaambia watanzaniaMungu yupo na ukweli utafika utajulikana na Mungu atajiidhihirisha kwa hili, Ahsanten.

Nanukuu mbasha alivyoaga so sad kwa waliosikia hili.
 
angemtaja huyo kigogo, ili tuujue ukweli kabisa wa mambo yote.
 
Jamaa anatafuta Sympathy kwenye media?,. Atulie kwanza na hii habari kwani ishakuwa exposed vya kutosha!!

Apange maisha yake kama mkewe kaamua kumuacha,. Life is too short haina haja ya kuishi na stress,.
 
Pdity nawe umeingia kumsafishi mtakatifu gwajima?
Weka sosi basi,
 
Ah ah duh...jamaa si kama amekubali kosa la ubakaji..ila sio minnor au?....(kweli ndo maana wazungu polisi wanasema "you have the right to remain silent?)
 

huitaji utaalam kujua huu ni uongo uliotungwa kwa lengo la kumlinda mchungaji
 
huitaji utaalam kujua huu ni uongo uliotungwa kwa lengo la kumlinda mchungaji

Pole sana kama imeongelewa kweli kama tulivyosikia basi ukambake jiraniyako na aibuu hii iweduniani sio tanzaniapekee
 
utashangaa, ugomvi wote huo mwisho wa siku kumbe ni kiki ya kutoa ALBUM..!!
 
Jamaa anatafuta Sympathy kwenye media?,. Atulie kwanza na hii habari kwani ishakuwa exposed vya kutosha!!

Apange maisha yake kama mkewe kaamua kumuacha,. Life is too short haina haja ya kuishi na stress,.

Nikweli mkuu na hili nilileweka waziii kulee pengine mbasha bado ajaelewa msimamowamkeewee nannahisinaitaji mshauri badallaykuamua maamuzi yake mwenyewe kwanini nasema hivyo

Akiongea redioni anasema akimpgia flora flora anamwamwambia aitaji kuongea nae mpaka aendekujisalimisha amalaa a nahakikisha anafia jela



Hapohapo anasema anampenda mkeewe na atahakiksha ndoayake inarudi kama ilivyokuwa

Ni kujiuliza tu unaambiwa utahahakikishiwa unafia jela tenabkamtajia na Teresa sio segerea unavyojua wewe keko

Sasaa kuna mke hapo.....kunahaja ya kuhangaika zaidi
Apatemshauri wakympamawazo yakukubalu now ndoa is no more afight amalize tatizo aanze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…