Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Wewe Pdidy ni mfuasi wa Gwajima nimeshawahi ona mabandiko yako ukimtetea...

Naona Gwajima ameamua kujinasua kwa stail hii..
 
Last edited by a moderator:
Mtoa thread acha uongo ni radio gani Mbasha kaongelea??? Acha kumsafisha mchungaji wako mzinzi wewe.Tupe source.
 
Halafu inaonesha jamaa ndo alikuwa ameolewa na mke wake anahofu sn hatima ya maisha yake
 
!
!
team no regreats........... simple tu,....you break the rule....you are fired,sucked and everything ma@nina kimyakimya
 
Wewe Pdidy ni mfuasi wa Gwajima nimeshawahi ona mabandiko yako ukimtetea...

Naona Gwajima ameamua kujinasua kwa stail hii..

Ni kweli kabisa huyu Pdiddy ni mkusanya sadaka kwa gwajima,ndio walewale watu wa TOTOZ!! Matapeli wa injili.Humpati mtu pdiddy,nenda na mchungaji wako ITV mkaombe msamaha,mseme hivi: SISI NI WAZINZI.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Huyu mshkaji hana mshauri? He better keep quiet maana hivi anaharibu hata ushahidi
 
Nikweli mkuu na hili nilileweka waziii kulee pengine mbasha bado ajaelewa msimamowamkeewee nannahisinaitaji mshauri badallaykuamua maamuzi yake mwenyewe kwanini nasema hivyo

Akiongea redioni anasema akimpgia flora flora anamwamwambia aitaji kuongea nae mpaka aendekujisalimisha amalaa a nahakikisha anafia jela



Hapohapo anasema anampenda mkeewe na atahakiksha ndoayake inarudi kama ilivyokuwa

Ni kujiuliza tu unaambiwa utahahakikishiwa unafia jela tenabkamtajia na Teresa sio segerea unavyojua wewe keko

Sasaa kuna mke hapo.....kunahaja ya kuhangaika zaidi
Apatemshauri wakympamawazo yakukubalu now ndoa is no more afight amalize tatizo aanze

mkuu bado ujazoea ipad???
 
Team Gwanjima mnachekesha.. umeyapa redio gani tena.. siku Gwanjima akimgegeda mkeo au dada ndipo utamtambua huyo mtumishi wa mungu
 
Team Gwanjima mnachekesha.. umeyapa redio gani tena.. siku Gwanjima akimgegeda mkeo au dada ndipo utamtambua huyo mtumishi wa mungu

Mkuu mtoa thread ni group la matapeli wenyewe,wameumbuka wanataka wajisafishe.hakuna radio yoyote ameongelea mbasha.
 
Back
Top Bottom