Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

hiyo radio itakuwa inaishia Magomeni!, pididy mwambie aje aseme mwenyewe Mbasha hapa...mwambie mliyenituma nimetimuliwa jamvini na wastaarabu.
 
Wakati sakata la flora likiendelea na bwana wake

mh mbasha amefunguka kwenye redio na kusema anasikitika sana mkewe kutaka kumfunga ili

aendelee na uhuni wake na m h mmoja ambae anasema ni kigogo serikalini

wakati wengi wakiongea mara gwajima mara nani...mr mbasha amefunguka na kusema

anajua mchezo mzima na aliepanga hilo na akasema hata akifungwa miaka 30 akitoka

ni lazima afe na huyo kigogo liwalo na lile

mh mbasha akaenda zaidi na kusema zamani mkewe amekuwa akitongozwa na wakubwa na

kumwambia mtu fudenge anataka tunda lake lakini tangu alipoanza kutukanana nae

kuhusu huyo kigogo ameamua soln ni kumnyima tunda na sasa ameamua amfunge ili aendeelee

na uhuni wake

naamini mh gwajjima atapumzika kwa statement hiyo na wengine waliohusishwa na flora

nilisema na nitarudia tena sakata zima la flora na mumewe ni wawili tu ndio wanajua

src na upumbavu unaoendelea juu yakee

akafunguka mtoto huyo wanaesema nimembaka nimemtoa mwenye kijijini na hata wanavyosema

ana miaka 17 si kweli ..waende shule aliyosoma ama waangalie kadi yake ya kuzaliwa ana miaka 19


ujue hata mchezo wanaocheza awana uhakika wanachoongea

mwisho wa siku nawaambia watanzania mungu yupo na ukweli utafika utajulikana na mungu atajiidhihirisha kwa hili

ahsanten

nanukuu mbasha alivyoaga so sad kwa waliosikia hili

Ngoja nikanunue panadol,kichwa kinauma sana kutokana na kusoma haya maandishi.
 
Ndo yaleyale ya kukodiwa kwajili ya kulia msibani!!!
 
mapenzi siri ya mtu fumbo kwa wengi

wanajuana wao wawili sie wengi watazamaji tu

ila mbasha atakuwa amemis TAAM ,love is like heaven but it hurts like hell gashhh
 
mapenzi siri ya mtu fumbo kwa wengine

wanajuana wao wawili sie wengi watazamaji tu

ila mbasha atakuwa amemis TAAM ,love is like heaven but it hurts like hell gashhh
 
"njoooo!njoooo!,binti ulikuwa wapi?nilikuwa mapangoni.Ulikuwa unafanya nn?nilikuwa nakula pumba na damu.mxiuuuuuuu!!!!hovyo sana
 
Mbasha umetishwa na genge la Gwajima eh. ......unataka kubadili uelekeo wa sinema.
Umepewa pesa na Gwajima? Usiuze utu wako philosophy kuwa Gwajima ni masihi Mungu ndo atadeal naye ndo chanzo cha ufuska na tamaa za Gwajima kwa wake za watu. Wasikudanganye kesi itaisha ukibadili uelekeo - sema ukweli.
Gwajima kavunja ndoa nyingi kwa kisingizio cha nafasi aliyonayo kanisani kwake na kutokuambiwa ukweli si na mke tu kwani hata washauri wanaomzunguka. Aibu kwa kanisa. !
 
mchafu ni mchafu tu, hasafishiki.

HAO NDIO WACHUNGAJI WENYEWE UPAKO UNABII NA NGUVU ZA UFUFUO PTUUUUUU....

KARIBUNI KWENYE UISLAM DINI YA HAKI, MPATE AMANI NA SALAMA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.

Saafi umenena mkuu uko kwa wachungaji wazinifu hakuna kitu bora sie masheikh wetu safii wanajiheshim na kumuogopa mungu wa kweli
 
Ha!ha!ha! huyu jamaa ni kigogo wa misukule afu uyo mtoa mada alikuwa msukule porini gwajima kamtoa uko
 
"njoooo!njoooo!,binti ulikuwa wapi?nilikuwa mapangoni.Ulikuwa unafanya nn?nilikuwa nakula pumba na damu.mxiuuuuuuu!!!!hovyo sana


Haaaah, niwasaidie source ya habari maana pididy ametoroka, Ni Radio kawe jijini dasalama
 
Wakubwa bwana! Ucishangae Mbasha akiibuka na kusema mzee wa hammer hahusiki kabisa na mgogoro huu! Ucicheze na pesa hata kdogo!
 
Halafu inaonesha jamaa ndo alikuwa ameolewa na mke wake anahofu sn hatima ya maisha yake

Hata mi hilo ndilo ninaloliona coz mtu anataka ukafie jela then we unasema eti unampenda.anaona hana future bila florah. Ngoma ikivma sana hupasuka maana kila sehem wako wote sijui hata jama alvokula uroda mwnzie alikuwa wapi coz hawaachanagi hao.
 
Back
Top Bottom