Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati sakata la flora likiendelea na bwana wake
mh mbasha amefunguka kwenye redio na kusema anasikitika sana mkewe kutaka kumfunga ili
aendelee na uhuni wake na m h mmoja ambae anasema ni kigogo serikalini
wakati wengi wakiongea mara gwajima mara nani...mr mbasha amefunguka na kusema
anajua mchezo mzima na aliepanga hilo na akasema hata akifungwa miaka 30 akitoka
ni lazima afe na huyo kigogo liwalo na lile
mh mbasha akaenda zaidi na kusema zamani mkewe amekuwa akitongozwa na wakubwa na
kumwambia mtu fudenge anataka tunda lake lakini tangu alipoanza kutukanana nae
kuhusu huyo kigogo ameamua soln ni kumnyima tunda na sasa ameamua amfunge ili aendeelee
na uhuni wake
naamini mh gwajjima atapumzika kwa statement hiyo na wengine waliohusishwa na flora
nilisema na nitarudia tena sakata zima la flora na mumewe ni wawili tu ndio wanajua
src na upumbavu unaoendelea juu yakee
akafunguka mtoto huyo wanaesema nimembaka nimemtoa mwenye kijijini na hata wanavyosema
ana miaka 17 si kweli ..waende shule aliyosoma ama waangalie kadi yake ya kuzaliwa ana miaka 19
ujue hata mchezo wanaocheza awana uhakika wanachoongea
mwisho wa siku nawaambia watanzania mungu yupo na ukweli utafika utajulikana na mungu atajiidhihirisha kwa hili
ahsanten
nanukuu mbasha alivyoaga so sad kwa waliosikia hili
angemtaja huyo kigogo, ili tuujue ukweli kabisa wa mambo yote.
utashangaa, ugomvi wote huo mwisho wa siku kumbe ni kiki ya kutoa ALBUM..!!
another day another drama....
mchafu ni mchafu tu, hasafishiki.
HAO NDIO WACHUNGAJI WENYEWE UPAKO UNABII NA NGUVU ZA UFUFUO PTUUUUUU....
KARIBUNI KWENYE UISLAM DINI YA HAKI, MPATE AMANI NA SALAMA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.
Kwanini usiulize ni redio gani ameongelea kwanza?? Mnadhani mtamsafisha? Asafishiki! Mchungaji wenu ni Mzinzi.
"njoooo!njoooo!,binti ulikuwa wapi?nilikuwa mapangoni.Ulikuwa unafanya nn?nilikuwa nakula pumba na damu.mxiuuuuuuu!!!!hovyo sana
Walau Leo umeandika vizuri
Halafu inaonesha jamaa ndo alikuwa ameolewa na mke wake anahofu sn hatima ya maisha yake