Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Pdidy ni mfuasi wa Gwajima nimeshawahi ona mabandiko yako ukimtetea...
Naona Gwajima ameamua kujinasua kwa stail hii..
Halafu inaonesha jamaa ndo alikuwa ameolewa na mke wake anahofu sn hatima ya maisha yake
Nikweli mkuu na hili nilileweka waziii kulee pengine mbasha bado ajaelewa msimamowamkeewee nannahisinaitaji mshauri badallaykuamua maamuzi yake mwenyewe kwanini nasema hivyo
Akiongea redioni anasema akimpgia flora flora anamwamwambia aitaji kuongea nae mpaka aendekujisalimisha amalaa a nahakikisha anafia jela
Hapohapo anasema anampenda mkeewe na atahakiksha ndoayake inarudi kama ilivyokuwa
Ni kujiuliza tu unaambiwa utahahakikishiwa unafia jela tenabkamtajia na Teresa sio segerea unavyojua wewe keko
Sasaa kuna mke hapo.....kunahaja ya kuhangaika zaidi
Apatemshauri wakympamawazo yakukubalu now ndoa is no more afight amalize tatizo aanze
Redio gani walimhoji tuombe warudie
Hivi Huyu mshkaji hana mshauri? He better keep quiet maana hivi anaharibu hata ushahidi
Kwani Gwajima ni kigogo wa serikali?
Team Gwanjima mnachekesha.. umeyapa redio gani tena.. siku Gwanjima akimgegeda mkeo au dada ndipo utamtambua huyo mtumishi wa mungu
mkuu bado ujazoea ipad???