Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Kwani Gwajima ni kigogo wa serikali?
Kama chekechea ndio kaandika dah..Nikweli mkuu na hili nilileweka waziii kulee pengine mbasha bado ajaelewa msimamowamkeewee nannahisinaitaji mshauri badallaykuamua maamuzi yake mwenyewe kwanini nasema hivyo
Akiongea redioni anasema akimpgia flora flora anamwamwambia aitaji kuongea nae mpaka aendekujisalimisha amalaa a nahakikisha anafia jela
Hapohapo anasema anampenda mkeewe na atahakiksha ndoayake inarudi kama ilivyokuwa
Ni kujiuliza tu unaambiwa utahahakikishiwa unafia jela tenabkamtajia na Teresa sio segerea unavyojua wewe keko
Sasaa kuna mke hapo.....kunahaja ya kuhangaika zaidi
Apatemshauri wakympamawazo yakukubalu now ndoa is no more afight amalize tatizo aanze
Kama chekechea ndio kaandika dah..
Angemtaja huyo kigogo ningemsaidia miaka 5 gerezani
Ndio hapo sasa? Gwajima anataka ajisafishe.hasafishiki ng'o.
Gwajima mwizi,mzinifu ,laghai na drug dealer hasafishiki hata mlete thread mia za kumsafisha.
mchafu ni mchafu tu, hasafishiki.
HAO NDIO WACHUNGAJI WENYEWE UPAKO UNABII NA NGUVU ZA UFUFUO PTUUUUUU....
KARIBUNI KWENYE UISLAM DINI YA HAKI, MPATE AMANI NA SALAMA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.
Pididi mbona huandiki vizuri,una matatizo gani kwani?
Kajilipue mwenyewe.
GWAJIMA BANA!!! unadhani ni rahisi sana kuwahadaa watanzania wa kizazi hiki? mimi nimeshatoroka kanisa yako, hunipati ng'oo.
Gwajima sio kigogo??
Basi nenda kwa gwajima ukatapeliwe