uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Ni kweli kabisa huyu Pdiddy ni mkusanya sadaka kwa gwajima,ndio walewale watu wa TOTOZ!! Matapeli wa injili.Humpati mtu pdiddy,nenda na mchungaji wako ITV mkaombe msamaha,mseme hivi: SISI NI WAZINZI.
Nikweli mkuu na hili nilileweka waziii kulee pengine mbasha bado ajaelewa msimamowamkeewee nannahisinaitaji mshauri badallaykuamua maamuzi yake mwenyewe kwanini nasema hivyo
Akiongea redioni anasema akimpgia flora flora anamwamwambia aitaji kuongea nae mpaka aendekujisalimisha amalaa a nahakikisha anafia jela
Hapohapo anasema anampenda mkeewe na atahakiksha ndoayake inarudi kama ilivyokuwa
Ni kujiuliza tu unaambiwa utahahakikishiwa unafia jela tenabkamtajia na Teresa sio segerea unavyojua wewe keko
Sasaa kuna mke hapo.....kunahaja ya kuhangaika zaidi
Apataja ya kuhangaika zaidi
Apatemshauri wakympamawazo yakukubalu now ndoa is no more afight amalize tatizo aanze
Tena ni uongo mkubwa.waumini wamekimbia,kama mimi nimekimbia.gwajima hasafishiki labda aende ITV akaombe msamaha.
hebu wekeni picha ya huyo sijui gwajima mimi namsikia tu
muangalie youtube kama smartphone yako si mchina
https://www.youtube.com/watch?v=ee9i-vwnHyA&feature=youtube_gdata_player
angemtaja huyo kigogo, ili tuujue ukweli kabisa wa mambo yote.
Tena ni uongo mkubwa.waumini wamekimbia,kama mimi nimekimbia.gwajima hasafishiki labda aende ITV akaombe msamaha.