Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

W pdidy utakuwa mwalim wa chekechea,na unadhan wote watt, hv huna hata aibu? Au na ww ndo zako? Nakwmbia mtasema vzr na jamaa kawakalia pabaya mwaka huu, cjui j2 hii gwajima atasema nn!!!!
 
Huwezi kujua ukweli wa jambo bila kufahamu chanzo chake ni nini, lakini mtoa hoja kadanganya kusema Mbasha kazungumza redioni, redio ipi hiyo?
 
Ni kweli kabisa huyu Pdiddy ni mkusanya sadaka kwa gwajima,ndio walewale watu wa TOTOZ!! Matapeli wa injili.Humpati mtu pdiddy,nenda na mchungaji wako ITV mkaombe msamaha,mseme hivi: SISI NI WAZINZI.

Mtake radhi Munguwako m nishakusamehe
 
hebu wekeni picha ya huyo sijui gwajima mimi namsikia tu
 
Nikweli mkuu na hili nilileweka waziii kulee pengine mbasha bado ajaelewa msimamowamkeewee nannahisinaitaji mshauri badallaykuamua maamuzi yake mwenyewe kwanini nasema hivyo

Akiongea redioni anasema akimpgia flora flora anamwamwambia aitaji kuongea nae mpaka aendekujisalimisha amalaa a nahakikisha anafia jela



Hapohapo anasema anampenda mkeewe na atahakiksha ndoayake inarudi kama ilivyokuwa

Ni kujiuliza tu unaambiwa utahahakikishiwa unafia jela tenabkamtajia na Teresa sio segerea unavyojua wewe keko

Sasaa kuna mke hapo.....kunahaja ya kuhangaika zaidi
Apataja ya kuhangaika zaidi
Apatemshauri wakympamawazo yakukubalu now ndoa is no more afight amalize tatizo aanze


unatuumiza macho!
 
Ni bora angekaa kimya. Ukiridi bituini laini unaona ni kweli alipanda ila alipanda basi la uda si bito.
 
daah aisee... anyways mahubiri ya Mch. Gwajima hutangazwa online kwa njia ya ustream so kama utakuwa interest na kujua kuwa ataongeleaje swala hili... au la. unaweza kusikiliza online ukiwa na smartphone yako nyumbani jumapili hii la utashindwa audio clip (incase ameongea itaweka hewani) n video utube kama kipindi cha Joshua wa ulimboka kuwa mvumilivu ..then jumatatu njoo na nguvu zote kumuhukumu kwa maneno yake ..narudia in case kama ataongelea maana aweza asiongelee ...
 
hebu wekeni picha ya huyo sijui gwajima mimi namsikia tu

muangalie youtube kama smartphone yako si mchina

https://www.youtube.com/watch?v=ee9i-vwnHyA&feature=youtube_gdata_player
 
Gwajima katika hili huchomoki, hawa unaowatuma kukusafisha hapa ni wepesi sana.
Huwezi kukana kama umemhamisha mama yake Flora toka Mwanza na kumpangia nyumba ya 250,000 pale Morogoro na matumizi kwa kila mwezi na ndio maana familia nzima ya Flora imejipanga kumpoteza Mbasha.
 
Embufunguen

M.soundcloud.com
Search mbasha muonekakayetu anavyoombamsamaha kwa shemejietenawarohoni jamani

Eeh floramwoneehuruma babahuyu. Ilakaniudhi anamwambia shemejiasimwone flora alipo yeye ndio kilakitukwake


Ati flora alikuwa hajui ata mlango wa mengi ukowapi mlango wa lowassa ulowapi kymwona rais yeye ndie alikuwa anaorganizr kilakitu flora anakujamalizia


Ati flora ajui akifungwayeyelazima atapatashida sana ndugu zake awatamwacha .....akasisitiza Akuna aliemsafi hata mamanababakolola walikuwa wanaudhaifuwao so kama shemeji anamwomba yaishe maishalazima ya endelee vinginevyo Amir hatayeye anamtegemea sana napamojanayaliyotokea anamhakikishia nimapito tu atampenda na kuzidikumpenda daa huuyu jaamaa ni kitasa adimu

Nisimalizie sikilizamwenyewe
 
Tena ni uongo mkubwa.waumini wamekimbia,kama mimi nimekimbia.gwajima hasafishiki labda aende ITV akaombe msamaha.

Nilishasema 98% ya walokole ni wanafiki, sasa kiko wapi? hawa watu wanajifanya kumtaja Mungu kwa mbwembwe kiasi cha kuidanganya jamii ikadanganyika lakini sasa ukweli umedhihirika Mungu hamfichi mnafikiendeleeni kuumbua tu kwenye media sisi yetu macho, akili ya kuambiwa unachanganya na ya kwako.
 
Gwajima anakula mzigo. Flora ni malaya. Pia naskia hadi mbowe wa chadema pia anamchukua.
 
Back
Top Bottom