Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mnhh haya mambo nikuwaachia wao wenyewe wajue wata solve vipi , ndoa na iheshimiwe na watu wote but kwenye hizo drama zao embu wamuache Mungu.

Ukiangalia maisha ya waimbaji/wasanii wengi wanawake hawaishi na waume zao !!!!! Kwa hiyo inawezekana na huyu mke wa jamaa anafuata trend hii.
 
pdidy hawezi kunyoosha maelezo hivi hata siku moja, hii atakuwa kaicopy kutoka kwenye blog na kupaste hapa. I bet $100.

Nami nimeshangaa kidogo niseme hua anajifanyisha kuandika kwani ni kabila ganii!
 
Ni hatari sana kumiliki mke/mume ambaye ni public icon...ni lazima ugongewe tu na kama hutagongewa basi utaishi maisha ya stress kila siku!
 
Frola hiyo mbinu ya kumtengenezea Kesi Mbasha afungwe ili Upige Umalaya kwa kweli ni mbinu ya Kishetani sana ! Kama unataka kupata mwanya wa Kuwa Free ungebuni mbinu ingine labda ya kuachana kwa Amani kisha ukaenda kupiga Umalaya vizuri.
 
huyo Mbasha na mkewe ndo kina nani!??
mwenye kujua anieleze kinaganaga
 
Wakati sakata la Flora likiendelea, bwana wake Mbasha amefunguka kwenye redio na kusema anasikitika sana mkewe kutaka kumfunga ili aendelee na uhuni wake na jamaa mmoja ambae anasema ni kigogo serikalini wakati wengi wakiongea mara Gwajima mara nani.

Mbasha amefunguka na kusema anajua mchezo mzima na aliepanga hilo na akasema hata akifungwa miaka 30 akitoka ni lazima afe na huyo kigogo liwalo.

Mbasha akaenda zaidi na kusema kuwa tokea zamani mkewe amekuwa akitongozwa na wakubwa na kumwambia mtu fudenge anataka tunda lake lakini tangu alipoanza kutukanana nae kuhusu huyo kigogo ameamua soln ni kumnyima tunda.

Sasa ameamua amfunge ili aendeelee na uhuni wake. Naamini Gwajjima atapumzika kwa statement hiyo na wengine waliohusishwa na Flora.

Nilisema na nitarudia tena sakata zima la Flora na mumewe ni wawili tu ndio wanajua chanzo na upumbavu unaoendelea juu yakee.

Akafunguka mtoto huyo wanaesema nimembaka nimemtoa mwenye kijijini na hata wanavyosema ana miaka 17 si kweli ..waende shule aliyosoma ama waangalie kadi yake ya kuzaliwa ana miaka 19.


Ujue hata mchezo wanaocheza hawana uhakika wanachoongea mwisho wa siku nawaambia watanzaniaMungu yupo na ukweli utafika utajulikana na Mungu atajiidhihirisha kwa hili, Ahsanten.

Nanukuu mbasha alivyoaga so sad kwa waliosikia hili.
Mkuu hbr yko mbna iko nusu nusu mi naomba unambie v2 vifuatavyo
ni redio gan, taja jina,
kipind gan katka redio
na ilikua saa ngapi
Angalizo usitaje redio ninayofanyia kazi kwasababu ntakuumbua
Lengo ni kupata ukwel cna nia yoyote mbaya
ukitaja hvo mi ntahakikisha nakpata hcho kpndi kwasabab nafahamiana na watangazaj weng hpa mjin kutkana na kufnya nao kaz, alafu nakileta hpa jf ili utata utoke
 
Ukiangalia maisha ya waimbaji/wasanii wengi wanawake hawaishi na waume zao !!!!! Kwa hiyo inawezekana na huyu mke wa jamaa anafuata trend hii.

Lakini kwa hawa hatujui wat really happened behind the scene hapa tunasikia upande wa mme vipi wa mke na yeye anajiteteaje, lakini yote kwa yote kua maarufu ni shida aiseee.
 
Rajabs nenda huko kwa Komba nenda kamliwaze kwanza acha watu tujadili Haya Majanga juu ya Ndoa ya Mbasha na Frola.
 
Lakini kwa hawa hatujui wat really happened behind the scene hapa tunasikia upande wa mme vipi wa mke na yeye anajiteteaje, lakini yote kwa yote kua maarufu ni shida aiseee.

Kwa ufupi inasikitisha sana. Nawafahamu hawa jamaa, ni majirani zangu.
 
Pdidy taja source ya hyo habar.
Kama ni radio basi itaje jina,kipind na mtangazaj wake.
Naona umekuja kumsafisha baba askof.

Ila Leo umejitahd kuandika mwandiko mzur

Jamaa amepewa post aibandike, kaandikiwa na mtu (labda ni Gwajima mwenyewe) aje aiweke JF.

Pdidy hawezi kabisa (namaanisha) kuandika vizuri kiasi kile, ukitaka kuhakiki angalia post no 11 na 18 ndio utaelewa ninachomaanisha.
 
Pididi mbona huandiki vizuri,una matatizo gani kwani?

Pdidy taja source ya hyo habar.
Kama ni radio basi itaje jina,kipind na mtangazaj wake.
Naona umekuja kumsafisha baba askof.

Ila Leo umejitahd kuandika mwandiko mzur

Anajitahidi kuizoea ipadi yake mpya aliyoletewa na anko wake wa merekani.:smile::smile::smile:
 
Nadhan kuna mengi ya muhimu kuzungumzia,ku discuss watu kwa hali hii ya maisha ni upotevu wa rasilimali muda pia!
 
Back
Top Bottom