Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kwa hiyo Mbasha kathibitisha kuwa The bold ni muongo?

Mkuu weka Source!
Radio gani?
Kipindi gani?
Siku gani?
Tarehe ngapi?
Saa ngapi?

Samahani lakini.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa amepewa post aibandike, kaandikiwa na mtu (labda ni Gwajima mwenyewe) aje aiweke JF.

Pdidy hawezi kabisa (namaanisha) kuandika vizuri kiasi kile, ukitaka kuhakiki angalia post no 11 na 18 ndio utaelewa ninachomaanisha.
Kwenye muandiko mimi na kuunga mkono lakini je hayo yaliyo ongelewa na Mbasha ni uongo?
Lakini ni vyema akaweka source na hiyo Radio.
 
Dah kumbe unawapata kimtindo, ni kweli inasikitisha sana walikua wanapendana.

Hawa jamaa siku moja walipiga songi mbele yangu live, nilitamani na mimi na wife siku moja nipige songi pamoja nao, shetani hana likizo ndugu zangu.
 
Hawa jamaa siku moja walipiga songi mbele yangu live, nilitamani na mimi na wife siku moja nipige songi pamoja nao, shetani hana likizo ndugu zangu.

Hahahahaaa:sly: unavituko wewe eti shetani hana likizo, mambo mengine bana minaona hata shetani anatushangaa kwa tunayoyafanya.
 
Hvi yule dada tuliyewekewa hapa anaesadikika kabakwa anaitwa nani vile nataka ni mgoogle
 
Uislamu huu wa boko haramu,alshababu na alqaida au ni upi unauongelea? Hiyo ni dini ya k.u.z.i.m.u..



UOTE=peri;9740667]mchafu ni mchafu tu, hasafishiki.

HAO NDIO WACHUNGAJI WENYEWE UPAKO UNABII NA NGUVU ZA UFUFUO PTUUUUUU....

KARIBUNI KWENYE UISLAM DINI YA HAKI, MPATE AMANI NA SALAMA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.[/QUOTE]
 
Pididi mbona huandiki vizuri,una matatizo gani kwani?


Mkuu ndo umemkimbiza Pdidy harudi tena, nani anapenda kuumbuliwa??

Pididi mbona huandiki vizuri,una matatizo gani kwani?

Kwa hiyo Mbasha kathibitisha kuwa The bold ni muongo?

Mkuu weka Source!
Radio gani?
Kipindi gani?
Siku gani?
Tarehe ngapi?
Saa ngapi?

Samahani lakini.

Hakuna ukweli wowote maana hana jibu la swali lolote ulilouliza.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nilisikia nadhani ni radio one jana saa nne asubuhi.
 
Kwakweli Pdidy nilikuwa nakuheshimu lkn kwa tope hili ulilojipaka no way out.
 
Last edited by a moderator:
Angemtaja huyo kigogo ajulikane moja kwa moja kama ni kweli
 
Kwani,kiongozi,kubaka kuna umri?.Kama ana miaka 19 atakua hajatenda kosa?
 
P.didy wewe si ni mmoja wa washirika wa Gwajima!! huwezi kumsafisha huyo kiongozi wako kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…