Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye muandiko mimi na kuunga mkono lakini je hayo yaliyo ongelewa na Mbasha ni uongo?Jamaa amepewa post aibandike, kaandikiwa na mtu (labda ni Gwajima mwenyewe) aje aiweke JF.
Pdidy hawezi kabisa (namaanisha) kuandika vizuri kiasi kile, ukitaka kuhakiki angalia post no 11 na 18 ndio utaelewa ninachomaanisha.
Dah kumbe unawapata kimtindo, ni kweli inasikitisha sana walikua wanapendana.
Hawa jamaa siku moja walipiga songi mbele yangu live, nilitamani na mimi na wife siku moja nipige songi pamoja nao, shetani hana likizo ndugu zangu.
Pididi mbona huandiki vizuri,una matatizo gani kwani?
Mkuu hbr yko mbna iko nusu nusu mi naomba unambie v2 vifuatavyo
ni redio gan, taja jina,
kipind gan katka redio
na ilikua saa ngapi
Angalizo usitaje redio ninayofanyia kazi kwasababu ntakuumbua
Lengo ni kupata ukwel cna nia yoyote mbaya
ukitaja hvo mi ntahakikisha nakpata hcho kpndi kwasabab nafahamiana na watangazaj weng hpa mjin kutkana na kufnya nao kaz, alafu nakileta hpa jf ili utata utoke
Pididi mbona huandiki vizuri,una matatizo gani kwani?
Kwa hiyo Mbasha kathibitisha kuwa The bold ni muongo?
Mkuu weka Source!
Radio gani?
Kipindi gani?
Siku gani?
Tarehe ngapi?
Saa ngapi?
Samahani lakini.
Hata mimi nilisikia nadhani ni radio one jana saa nne asubuhi.
Angemtaja huyo kigogo ajulikane moja kwa moja kama ni kweliWakati sakata la Flora likiendelea, bwana wake Mbasha amefunguka kwenye redio na kusema anasikitika sana mkewe kutaka kumfunga ili aendelee na uhuni wake na jamaa mmoja ambae anasema ni kigogo serikalini wakati wengi wakiongea mara Gwajima mara nani.
Mbasha amefunguka na kusema anajua mchezo mzima na aliepanga hilo na akasema hata akifungwa miaka 30 akitoka ni lazima afe na huyo kigogo liwalo.
Mbasha akaenda zaidi na kusema kuwa tokea zamani mkewe amekuwa akitongozwa na wakubwa na kumwambia mtu fudenge anataka tunda lake lakini tangu alipoanza kutukanana nae kuhusu huyo kigogo ameamua soln ni kumnyima tunda.
Sasa ameamua amfunge ili aendeelee na uhuni wake. Naamini Gwajjima atapumzika kwa statement hiyo na wengine waliohusishwa na Flora.
Nilisema na nitarudia tena sakata zima la Flora na mumewe ni wawili tu ndio wanajua chanzo na upumbavu unaoendelea juu yakee.
Akafunguka mtoto huyo wanaesema nimembaka nimemtoa mwenye kijijini na hata wanavyosema ana miaka 17 si kweli ..waende shule aliyosoma ama waangalie kadi yake ya kuzaliwa ana miaka 19.
Ujue hata mchezo wanaocheza hawana uhakika wanachoongea mwisho wa siku nawaambia watanzaniaMungu yupo na ukweli utafika utajulikana na Mungu atajiidhihirisha kwa hili, Ahsanten.
Nanukuu mbasha alivyoaga so sad kwa waliosikia hili.
Rajabs nenda huko kwa Komba nenda kamliwaze kwanza acha watu tujadili Haya Majanga juu ya Ndoa ya Mbasha na Frola.
Lini uzinifu ukahusishwa na chama...kama ni hivyo komba alikuwa anafanya nini vibinti na kujipiga picha
huyo Mbasha na mkewe ndo kina nani!??
mwenye kujua anieleze kinaganaga
Hata mimi nilisikia nadhani ni radio one jana saa nne asubuhi.