miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Pitia hii video umsikilize anayoyasema:
angempiga maswali ya maana kama yale ulipotoka nyumbani ukaenda hotelini ni kweli?kwanini hukwenda nyumbani kwenu kwa wazazi na ukaamua kuishi hotelini?ulikuwa una afford vipi huko hotelini,je ni kweli penzi lenu ilivurugukia baada ya kuingiliwa na kiongozi wa dini kama watu mbalimbali kwenye mitandao wanavyodai?source global TV unategemea nini hapo
Mimi nimeanza kuingiwa na huruma kwa hii familia...tuwaombee;
They are still in love ila shetani ndio hivyo tena kapita na hataki kutoka;
Nilisoma anahojiwa na magazetu ya udaku; inasikitisha sana....tuwape nafasi watatue matatizo yao; kama wamemsingizia jamaa kabaka na hajabaka siyo fair.
Kama kabaka sheria ichukue mkondo wake; maana hapo ni beyond msamaha...
Ila na hilo kanisa lao ni kanisa gani linalochochea watu kutengana????? Kama wasingetengana mumewe angebaka??? si excuse ila Flora hapo lazima ajisikie ni mkosaji kuruhusu shetani achukue mkondo wake.
Mkiwa na matatizo kwenye ndoa usinyanyue mguu wako kuacha nyumba yako; unless unajua kuwa ni for good; that is my formula.
Bt mbona kun audio niliwah sikia mumew akiomba msamaha?
Katika wanawake wapumbavu ni.huyu dada hana akili ... hayo ni.mambo ya ndani yan bado haoni kama kakosea kufanya alichokwisha fanya anaendeleza ligi.... huyu dada hekima wala heshima hana kabisa... mwongo hadi macho yake yanaonyesha
amekumbuka na anatamani kumkimbia mume wake kama mama yake alivyomkimbia mumewe mwanza na anapiga umalaya morogoro. Huyu naye anataka awe free apige umalaya vizuri
ila mtu kukubali kuwa kafanya akiwa amerekodiwa pia huweza mtia mtu hatini NIJUAVYOmerengo90
Audio ipo. Kwa mtazamo wangu kama hufahamu huu
mzozo ini detail basi Audio haitoi dalili wala uwazi wowote
kuonyesha swala linalojadiliwa ni kubaka.
Ukisikiliza audio baada ya kujua story yote, ni hisia tu
ambazo zitakulink na habari ya kubaka. Hivyo audio ile
haina nguvu kisheria ya kumtia hatiani.
Nafikiri issue ngumu ni kutembea na binti under age iwapo
kutakuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo. i.e shahawa
ambazo ni za Mbasha ambalo bado linahitaji maelezo. Vipi
kama ni shahawa zilizookotwa ndani ya condom
iliyotumiwa na Mbasha.
Uzuri wa mahakama ni kwamba ushahidi inabidi uwe
beyond the reasonable doubt
ila mtu kukubali kuwa kafanya akiwa amerekodiwa pia huweza mtia mtu hatini NIJUAVYO
Huyo kitaa madogo walikua wanapona kinoma mimi sishangai mana namjua tabia yke,anaongea hajiamini mpka usoni unamwona halafu huyu mbasha cjui mchaga wa wapi,c amwage mboga tu
Mbasha nae anawoga wa maisha amteme demu aendelee na life
Huyu mangi mwenzangu hajielewi atakua amezoea kulelewa nini? Twn akili 2 maisha yanasonga