Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Katika wanawake wapumbavu ni.huyu dada hana akili ... hayo ni.mambo ya ndani yan bado haoni kama kakosea kufanya alichokwisha fanya anaendeleza ligi.... huyu dada hekima wala heshima hana kabisa... mwongo hadi macho yake yanaonyesha
 
Hapa ndo unapoonekana uuaji wa hawa ndg zetu wanawake,yani akiamua kukuua hajali umemtoa wapi na umemfanyia nn.Ona anavojikanyaga hata haeleweki,Gwajima!!!
 
Pitia hii video umsikilize anayoyasema:

amekumbuka na anatamani kumkimbia mume wake kama mama yake alivyomkimbia mumewe mwanza na anapiga umalaya morogoro. Huyu naye anataka awe free apige umalaya vizuri
 
Last edited by a moderator:
source global TV unategemea nini hapo
angempiga maswali ya maana kama yale ulipotoka nyumbani ukaenda hotelini ni kweli?kwanini hukwenda nyumbani kwenu kwa wazazi na ukaamua kuishi hotelini?ulikuwa una afford vipi huko hotelini,je ni kweli penzi lenu ilivurugukia baada ya kuingiliwa na kiongozi wa dini kama watu mbalimbali kwenye mitandao wanavyodai?
sasa ye haulizi hata anaitikia tu
 
Mimi nimeanza kuingiwa na huruma kwa hii familia...tuwaombee;

They are still in love ila shetani ndio hivyo tena kapita na hataki kutoka;

Nilisoma anahojiwa na magazetu ya udaku; inasikitisha sana....tuwape nafasi watatue matatizo yao; kama wamemsingizia jamaa kabaka na hajabaka siyo fair.

Kama kabaka sheria ichukue mkondo wake; maana hapo ni beyond msamaha...

Ila na hilo kanisa lao ni kanisa gani linalochochea watu kutengana????? Kama wasingetengana mumewe angebaka??? si excuse ila Flora hapo lazima ajisikie ni mkosaji kuruhusu shetani achukue mkondo wake.

Mkiwa na matatizo kwenye ndoa usinyanyue mguu wako kuacha nyumba yako; unless unajua kuwa ni for good; that is my formula.

Kweli...mwanamke -------- hubomoa nyumba yake kwa mikono yake..
 
frola hana hekima kabisa uwezi ongea haya maneno mbele ya wahandishi wa habari
 
Audio ipo. Kwa mtazamo wangu kama hufahamu huu mzozo ini detail basi Audio haitoi dalili wala uwazi wowote kuonyesha swala linalojadiliwa ni kubaka.

Ukisikiliza audio baada ya kujua story yote, ni hisia tu ambazo zitakulink na habari ya kubaka. Hivyo audio ile haina nguvu kisheria ya kumtia hatiani.

Nafikiri issue ngumu ni kutembea na binti under age iwapo kutakuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo. i.e shahawa ambazo ni za Mbasha ambalo bado linahitaji maelezo. Vipi kama ni shahawa zilizookotwa ndani ya condom iliyotumiwa na Mbasha.

Uzuri wa mahakama ni kwamba ushahidi inabidi uwe beyond the reasonable doubt
 
Bt mbona kun audio niliwah sikia mumew akiomba msamaha?

merengo90

Audio ipo. Kwa mtazamo wangu kama hufahamu huu
mzozo ini detail basi Audio haitoi dalili wala uwazi wowote
kuonyesha swala linalojadiliwa ni kubaka.
Ukisikiliza audio baada ya kujua story yote, ni hisia tu
ambazo zitakulink na habari ya kubaka. Hivyo audio ile
haina nguvu kisheria ya kumtia hatiani.
Nafikiri issue ngumu ni kutembea na binti under age iwapo
kutakuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo. i.e shahawa
ambazo ni za Mbasha ambalo bado linahitaji maelezo. Vipi
kama ni shahawa zilizookotwa ndani ya condom
iliyotumiwa na Mbasha.
Uzuri wa mahakama ni kwamba ushahidi inabidi uwe
beyond the reasonable doubt
 
Last edited by a moderator:
Katika wanawake wapumbavu ni.huyu dada hana akili ... hayo ni.mambo ya ndani yan bado haoni kama kakosea kufanya alichokwisha fanya anaendeleza ligi.... huyu dada hekima wala heshima hana kabisa... mwongo hadi macho yake yanaonyesha

Huyo kitaa madogo walikua wanapona kinoma mimi sishangai mana namjua tabia yke,anaongea hajiamini mpka usoni unamwona halafu huyu mbasha cjui mchaga wa wapi,c amwage mboga tu
 
merengo90

Audio ipo. Kwa mtazamo wangu kama hufahamu huu
mzozo ini detail basi Audio haitoi dalili wala uwazi wowote
kuonyesha swala linalojadiliwa ni kubaka.
Ukisikiliza audio baada ya kujua story yote, ni hisia tu
ambazo zitakulink na habari ya kubaka. Hivyo audio ile
haina nguvu kisheria ya kumtia hatiani.
Nafikiri issue ngumu ni kutembea na binti under age iwapo
kutakuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo. i.e shahawa
ambazo ni za Mbasha ambalo bado linahitaji maelezo. Vipi
kama ni shahawa zilizookotwa ndani ya condom
iliyotumiwa na Mbasha.
Uzuri wa mahakama ni kwamba ushahidi inabidi uwe
beyond the reasonable doubt
ila mtu kukubali kuwa kafanya akiwa amerekodiwa pia huweza mtia mtu hatini NIJUAVYO
 
Mtuhumiwa yuko mafichoni bado watu tunamsemea kama sisi ndio wanasheria wake, Mke wa mtuhumiwa naona naye amehamua kuongea tena hadharani sasa watakuja watu kumtetea pasipo kumuona na kumsikiliza mtuhumiwa. Mi ningependa mtuhumiwa naye kwa kinywa chake aongee huko alipo japo kwa video tusikie nini kilitokea behind the scene maana tayar kwa audio tulisikia akiomba msamaha. SITAKI KUHUKUMU ILA naamini yapo mengi katika hili ambayo hatuyajui bado.
 
ila mtu kukubali kuwa kafanya akiwa amerekodiwa pia huweza mtia mtu hatini NIJUAVYO

Ni Sahihi, ila katika audio hakukiri wala hakuna sehemu ambayo inaongelea issue ya kubaka. Linazungumzwa jambo fulani ambalo Mbasha anaomba msamaha kwa kosa alilofanya. Ila mazungumzo katika audio hayaweki wazi kosa lililofanyika
 
Huyo kitaa madogo walikua wanapona kinoma mimi sishangai mana namjua tabia yke,anaongea hajiamini mpka usoni unamwona halafu huyu mbasha cjui mchaga wa wapi,c amwage mboga tu

Mbasha nae anawoga wa maisha amteme demu aendelee na life
 
Hivi jaman team flora huwa hawamshauri mwenzao? Ivi ni mwanamke gani mwenye busara anaweza kuongea haya mbele ya media!
 
Back
Top Bottom