merengo90
Audio ipo. Kwa mtazamo wangu kama hufahamu huu
mzozo ini detail basi Audio haitoi dalili wala uwazi wowote
kuonyesha swala linalojadiliwa ni kubaka.
Ukisikiliza audio baada ya kujua story yote, ni hisia tu
ambazo zitakulink na habari ya kubaka. Hivyo audio ile
haina nguvu kisheria ya kumtia hatiani.
Nafikiri issue ngumu ni kutembea na binti under age iwapo
kutakuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo. i.e shahawa
ambazo ni za Mbasha ambalo bado linahitaji maelezo. Vipi
kama ni shahawa zilizookotwa ndani ya condom
iliyotumiwa na Mbasha.
Uzuri wa mahakama ni kwamba ushahidi inabidi uwe
beyond the reasonable doubt