imma ungekua mtoto wa kihuni hii ilikua ishu ya kumpiga chini huyo dem kabla hata ya hukumu ya kesi kimya kimya tu "panya haridhiki na shimo lake ndio maana huingia ata shimo la nyoka " kaka kuwa mpole tu maana hata mkiyamaliza na mkeo kama hyo kesi na yy na mkono wake umeusika ipo cku tutaambiwa hatimaye imma afariki dunia ghafla na presha , kama ni kweli ni ishu mungu wako anakulinda na naamin wamekutafuta mda mrefu mnoo wakashindwa , inatia uchungu sana hiii ishu kwa kweli ,;:BABU ALINIAMBIA KUWA MAKINI NA SIO KILA ANAYEKUCHEKEA ANAKUPENDA;,