Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,849
wacha ijadiliwe tu , hawa si ndiyo wapambe wa wanasiasa !
nashukuru mods wameihamishia jukwaa husika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha ijadiliwe tu , hawa si ndiyo wapambe wa wanasiasa !
jamani tusisahau ishu ya Vicky kamata,,
dah!,ule mti wa kati ule, bila ule nafkiri dunia pangekua mahala salama sana pa kuishi.
MMmmmmmh Nosspass!! una uhakika lakini? Ila jamani hii dunia imebadilika sana, hivi huyo anayembaka shemejie haoni aibu? Angekuwa ni mdogo wake wa kike kafanyiwa hivyo angejisikiaje? Ila tusiangalie shilingi upande mmoja, labda shemeji mtu mavazi, mwonekano ulikuwa kimtegomtego, maana hawa mabinti wa sasa hivi ni full majanga. Labda vaa ya shemeji, zungumza na ukaribu na shemeji ulileta matamanio kiasi shemeji akashindwa kuhimili. Natoa ushauri wa bure: Mnaoishi kwa madada zenu walioolewa, jiheshimuni sana hakika shemeji yako hatokukosea adabu. Unakuta dada yako hayupo wewe unaamka na kanga moja tena ya India, huna ch...pi unapita sebuleni unaenda kwa bathroom unatikisa makalio mbele ya shemeji yako, unategemea atakuangalia tu yeye ni kaka yako? Sometimes nyie kina dada mnaoishi kwa masheji zenu ndio chanzo cha yote haya. Ila usipojiheshimu kimavazi, maongezi, muonekano, lazima utaliwa tuuu!!
myself nimewaza hivyo.. ila mbona mkewe mrembo sana?
mbona hakusema kaliwa twice mtoto wa miaka 17 sio mtoto hata u miss angeshiriki
Wewe na wewe usijiite mujuaji, Niwemugizi anauliza kwa nini umeamua kumtaja Flora Mbasha na si Christina Shuso maana wote ni waimbaji wa nyimbo za injili na wote wameolewa na zaidi wote wanakaa Tabata.Nasema hivo kwa sababu hakuna sehemu wandishi ameadentify kuwa mume na mke wote ni waimbaji maarufu.Kama angesema hivyo basi moja kwa moja ningeungana na wewe bila kukupinga.So fafanua kwa nini umemsema Flora Mbasha na si Christina Shusho?
shaka ndo ipi
Dah kama ni kacheza chachandu sio kalienda kumharibia ndoa mwenzie haka? Akiwa hayupo kalifata nini? Mungu amsaidie Flora ni majaribu!
Mtoto wa Miaka ''17'' Abakwe si uongo huu !
Hao wamepeana tu
Halafu wana STUDIO YA KILOKOLE iliyozinduliwa na msaka tonge mmoja hivi ( msaka urais kwa udi na uvumba ) , WATAKUWA WAMEMDHALILISHA SANA !
Nilitamani awe Shusho ndoa ivunjike niseme naye mpaka kieleweke.....Huyu Mbasha sina mpango nae
Kichwa cha chini kikijaa damu kinakuwa na maamuzi mabaya.
ajabu ni ipi?