Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

MMmmmmmh Nosspass!! una uhakika lakini? Ila jamani hii dunia imebadilika sana, hivi huyo anayembaka shemejie haoni aibu? Angekuwa ni mdogo wake wa kike kafanyiwa hivyo angejisikiaje? Ila tusiangalie shilingi upande mmoja, labda shemeji mtu mavazi, mwonekano ulikuwa kimtegomtego, maana hawa mabinti wa sasa hivi ni full majanga. Labda vaa ya shemeji, zungumza na ukaribu na shemeji ulileta matamanio kiasi shemeji akashindwa kuhimili. Natoa ushauri wa bure: Mnaoishi kwa madada zenu walioolewa, jiheshimuni sana hakika shemeji yako hatokukosea adabu. Unakuta dada yako hayupo wewe unaamka na kanga moja tena ya India, huna ch...pi unapita sebuleni unaenda kwa bathroom unatikisa makalio mbele ya shemeji yako, unategemea atakuangalia tu yeye ni kaka yako? Sometimes nyie kina dada mnaoishi kwa masheji zenu ndio chanzo cha yote haya. Ila usipojiheshimu kimavazi, maongezi, muonekano, lazima utaliwa tuuu!!

amini hivyo......shetani keshatukimbia coz tumemzidi kwa uharibifu.......mbona alipoliwa mara ya kwanza alitulia.....keshamla sana kwa taarifa.....ishu hapo ahadi ni hazitekelezeki.......akome kumjazia wadogoze.....
 
Kama mke ni mrembo mdogo mtu ni mrembo zaidi...

Ila ujue wabakaji hawaangalii sura au ubaya/uzuri wa mke...

Hapo sheria ichukue mkondo wale...na mimi nahisi ni FM maana ndio anayeishi TBT...


myself nimewaza hivyo.. ila mbona mkewe mrembo sana?
 
Mitazamo kama hii ndio inafanya ubakaji uwe tatizo sugu...mtu akiripoti nongwa; mnataka yaishe kifamilia...hapo bado kejeli za polisi...mweh...ni mpaka mtu ubakiwe mwanao ndio utaelewa utamu unakuwa vipi....

Kuna watoto wengi wanabakwa na wanaamua kukaa kimya kwa sababu jamii haiko upande wao....


mbona hakusema kaliwa twice mtoto wa miaka 17 sio mtoto hata u miss angeshiriki
 
Wewe na wewe usijiite mujuaji, Niwemugizi anauliza kwa nini umeamua kumtaja Flora Mbasha na si Christina Shuso maana wote ni waimbaji wa nyimbo za injili na wote wameolewa na zaidi wote wanakaa Tabata.Nasema hivo kwa sababu hakuna sehemu wandishi ameadentify kuwa mume na mke wote ni waimbaji maarufu.Kama angesema hivyo basi moja kwa moja ningeungana na wewe bila kukupinga.So fafanua kwa nini umemsema Flora Mbasha na si Christina Shusho?

hopeless creature... shusho haishi tabata kimanga.anaishi tabata chang'ombe. mbakaji umeambiwa anaishi tabata kimanga. mbasha anaishi tabata kimanga. una swali lingine????
 
Dah kama ni kacheza chachandu sio kalienda kumharibia ndoa mwenzie haka? Akiwa hayupo kalifata nini? Mungu amsaidie Flora ni majaribu!

hisia kwamba mwanamke ndio mkosaji siku zote naziona hapa. jamani tubadilike...
 
Nilitamani awe Shusho ndoa ivunjike niseme naye mpaka kieleweke.....Huyu Mbasha sina mpango nae
 
Halafu wana STUDIO YA KILOKOLE iliyozinduliwa na msaka tonge mmoja hivi ( msaka urais kwa udi na uvumba ) , WATAKUWA WAMEMDHALILISHA SANA !

Rafiki achana na hawa wanaojiita wameokoka unaweza kupata hasira bure!!Ngoja tuone sakata lake litaishia wapi.
 
Habari mbaya, Mungu aepushie mbali. Mungu amsaidie huyu mama yuko katika wakati mgumu! Walakini kitendo cha kuandika mambo binafsi ya huyu binti hususani vipimo na majibu ya Daktari si haki kabisa, wala hayamsaidii kupata haki yake. Hata kama amefanyiwa tendo baya haki yake ya privacy ni muhimu kuzingatiwa. Hawa waimbaji na watu mashuhuri na nini, lakini the poor binti is caught in between. Kuna tatizo kubwa la kimaadili katika uandishi wa habari hii na haifai hali hii iendelee hivi.
 
duhhhhhhhhh kama kweli ni mbasha ishu hii ishu imemtokea mungu awe nae katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom