Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Hivi kwanini Flora ulienda kuishi guest/ lodge??? Alikosa kabisa mahali pengine ambapo ni salama??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tatizo linakuwa kubwa kwa sababu yeye mwenyewe haonekani na taarifa ni kwamba amekimbia," alidai Flora. "Sasa kama kweli hajafanya kitendo hicho, kwa nini anajificha? Ajitokeze... aende polisi na huko ndiko akatoe maelezo yake. Kuzungumza na vyombo vya habari haisaidii kabisa."
porojo kibao kwa nini haendi polisi uku akiwa na muda wa kuongea na mwandishi? haya majangiri yanayojificha nyumma ya injili yamulikwe.
Tutaandama hadi kazini kwako...oohoooo
Ushahidi wa mazingira hujauona hapo?acha kuhukumu maana mpaka sasa hakuna ushahidi ulio wazi!!
Hinishindi....Jana sikulala kabisa..
Huenda usalama wa The Bold ungekuwa matatani kama uzi ungeendelea kuwapo...
Dear acha tu nimeishiwa pumzi... masai dada hivi hukutunza kumbukumbu? Sijui kwann sikuback up hii habari.
Tokea habari iandikwe magazetini kwa mara ya kwanza alikuwa kukanusha? kama ni msafi kwa nini ajifiche muda wote huo?Usikimbilie kuwa judgemental kwa kusikiliza upande mmoja wa shiling. Hili suala ni pana kuliko unavyofikiria
Wiki Hili mitandao, magazeti, na majukwaa ya watu wasio na KaZi wanaoishi Kwa kushiba majungu na umbea hasa inshu za Ndani ya nguo, wameshibishwa Bonge la Uongo unaohusiana na mambo ya kubaka hasa wakituhumu mume wa Mwimbaji huyu mashuhuri Flora Mbasha.
Wakiwa wenye Furaha Flora Mbasha na Mumewe wameonekana wakiimba Ndani ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Kwa Firaha wakigongana Kwa staili ile Yao maarufu. Baadhi ya watu tulipigwa mshangao na shutuma kali kabisa juu Yao. Na bila kupoteza Muda Mara Baada ya Ibaada tuliwakimbilia Kujua kulikoni na kuwakuta wakicheka HATA huyo mbakwa mwenyewe yupo ana furaha zake. Tulipohoji kulikoni wakatuambia HATA Uvumi usio na ukweli juu ya mzee wa liliondo uliwafanya HATA viongozi wa Nchi kutimkia huko wakiamini kubugia kikombe Cha maji machafu yasoyochemshwa eti kutawaponya ukimwi, Nchi Hii maarufu ambayo Siasa na matukio ya uvumi Ndiyo yanayopewa kipaumbele na kuongoza jamii kubwa ya wajinga.
Hadi naondoka Kwenye viwanja hivi najiuliza maswali mengi bila majibu, Nani katengeneza Uvumi huu na Kwa nini?!?. Kama Ni Flora na Mumewe ili iweje au Ni Gia ya kuwapaisha Kwenye chati tena manake ukitaka Kuwa maarufu Kwenye Nchi ya wajinga jisingizie mambo ya chupini lazima utakamata Akili Za maelfu ya wajivuni. Kama ni Adui wa Flora WHY?!? ..
Nikajikuta najiapiza kutofuatilia ujinga na upuuzi Kama huu tena. Bora nifanye KaZi Kwa bidii kuifanya familia yangu iende Chooni sio kung'ang'ana na UZUSHI naonekana kuku tu..
RIP mama Zitto Kabwe..tuko pamoja na Wewe Kamanda Zitto..
Flora Mbasha na timu yake wakiimba kwa furaha Ufufuo na Uzima na kutuzwa maelfu ya fedha na washirika. kilikuwa kipande kikubwa cha furaha watu kumtuza zaidi ya box zima la spika limejaa fedha.
Kwa maendeleo na ustawi wa taifa hili naomba Invisible uweke-pause hii thread ili watu tufanyekazi asubuhi hii then uta resume saa kumi na moja jioni, tafadhali mod tuonee huruma wenzio tutashindwa kufanyakazi kabisa kwa kufatilia taarifa hii huku tukizid kuhoji usalama wa The bold
CC: masai dada TATIANA J.lee tweenty4seven Heaven on Earth
WAONE WALIVYONUNA
Cc Active, Moderator, Mhariri
naomba ufafanuzi zaid juu ya uhusiano uliopo kati ya flora na Gwanjima