Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

mchafu ni mchafu tu, hasafishiki.

HAO NDIO WACHUNGAJI WENYEWE UPAKO UNABII NA NGUVU ZA UFUFUO PTUUUUUU....

KARIBUNI KWENYE UISLAM DINI YA HAKI, MPATE AMANI NA SALAMA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.

Ivi ni kweli kwamba ukifa ukaenda peponi eti unapewa wanawake 40 wote wako afu unapewa uwezo Wa kuwamudu wanawake 60?? Dah aisee Mungu wenu anatisha
 
mwambie gwajima aje ajisafishe mwenyewe anaewatuma mmeshindwa kuwashawishi raia wema
 
inasemekani Mch. Gwajima atatoa maelezo ya sakata hili kesho kanisani kwake; mlio dar mwende mtatupa updates.
 
Nitolee ngonjera huo ndio ukweli waimbaji ni malaya.

Nahisi ni concept ile ile iliyoanzia kwa msela Lucifer (shetani). Inaeleweka kwamba sifa kuu ya shetani ilikuwa ni kuimba. Mwisho wake tunaelewa. Binafsi hakuna anayeweza kunishawishi kwamba kuna muimbaji mzuri!

Naunga mkono kabisa ukiona mtu kang'ang'ana na kwaya au gospel music fahamu uhuni umekolea. Na hasa ngono na hiyo ndo motisha yao kuu. Kwaya ktk makanisa yote huwaangamiza wachungaji na maaaskofu na mapadre wao.
 
Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania .............................

..............
Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..
..............
1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?

Kwanza siaminui kwamba Moses Kulola ndo mwanzilishi wa ulokole nchini. Kumbuka Kulola alikuwa chini ya askofu Lazaro wa TAG mpaka alipojiondoa kwa kujitangazia kwamba yeye ndo askofu mkuu na baada ya kesi yao mahakama kuu kumpiga chini.

Pili huyu jamaa alifanya kosa kubwa sana kutishia pasipo vitendo. Alistahili kumkata nguvu Huyo mchungaji kwa kumtaja mara moja na leo hii kesi ingekuwa nyingine.

Kuhusu Kubaka inategemea umri wa huyo Binti. Ana umri gani? Kama ni chini ya 18, kosa la kubaka liko pale pale. Jamaa ajiandae na matata makubwa tu ingawa sijui kama walikumbuka kumpitisha hospitali.

Naomba kuuliza huyo Gwajima ni nani? Ni mchungaji wa aina gani, yuko wapi TZ maana wengine hatumjui kabisa!

Mwisho ni maoni yangu binafsi kuhusu secta hii ya Dini. Lazima tusema serikali imekuwa na uzembe sana juu ya hawa wachungaji. Hawa siyo watu wa kudekeza hata kidogo. Wengi ni wadanganyifu na hawana lolote la kuleta maendeleo ya nchi.

Nakubali kabisa mchango wa madhehebu ya kidini yanayohubiri huku yakijenga mashule na hospitali, lakini hawa munaowataja kazi yao ni kukusanya pesa na kuimba tuuuuu! Hawana shule, hawana hospitali, hawana lolote na sasa wanajichukulia heshima ktk jamii bila mchango wowote! Wakiugua wanakimbilia hospitali za wenzao. watoto wao wanaleta shule za wenzao.

Kwa nini serikali haisemi stop kama Nyerere wetu alivyowahi kufanya kwa Jehova witness ktk nchi hii????
 
mbash.jpg


.
Ninavyowajua wanawake:
ninaimani kisaikolojia kwamba kama Mume wa Mbasha angekuwa hajafanya kosa lolote basi la uzinzi..Mkewe angesimama kidete kumtetea hata kwenye Magazeti na mitandao ya kijamii ..lakini ukiona mke anasema yeye hana tatizo ila mambo yako kisheria-polisi(lugha ya kisaikolojia)na hana uamuzi nayo..hii inaonyesha flora mbasha hayuko na mumewe katika hili hata nusu. Mke anayejua uchungu wa Mume siku zote angeshaonyesha hali ya ku-paniki na hata kulalama tu kuwa Mumewe anasingiziwa.
na pengine hili jambo ni kweli na halisi. kwani ni kubwa na mke haonyeshi nia ya kumsapoti mumewe. Something very unfortunate.

l
akini pia mazingira yanaonyesha kuwa Mume toka long time alishanyimwa unyumba na kama simba mwenye njaa akaona pengine akitokea ohio ama kona bar kuwatafuta "magashi" anaweza ku-attract public eyes, hivyo akaamua kuchagua vya nyumbani kwake(yaani akalala na binti) ili kujinoma ado ado.usicheze na ukame
shida yangu ni kum-add gwajima kwenye hii equation, kwani kama tuonavyo ..muvi inaenda kuisha na kubwa la makatili limegunduliwa(Mr.Mbasha) na linaenda kuuwawa mapema saaana kabla gwajima hajaeleleweka tabiana maneno yake kuhusiana na sakata la ndoa hii halali ya wapendwa.

Hofu yangu ni kumkashifu mtiwa mafuta wa bwana (Gwajima).. na ikiwa haya yanayofanyika sasa yana mkono wa Mungu wa Gwajima--ili kuleta haki na kuondoa uovu..basi na mungu atukuzwe.Lakini kama ni vinginevyo..kazi ipo!!
 

SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka.


DSC_0006.JPG

Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha

Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi kwa sasa.



Kwa mujibu wa chanzo, siku ya tukio ilikuwa saa 9.15 alasiri ambapo Flora aliingia nyumbani kwake na kufunguliwa geti kubwa kisha kuingiza gari ndani na geti kufungwa tena.

"Flora aliingia na gari akitokea hotelini anakoishi kwa sasa. Alikuwa ameshaingia na geti likafungwa. Ghafla, watu wakafika na kugonga geti hilo kwa nguvu huku wakisema watalibomoa geti kama wenyeji hao hawatafungua," kilisema chanzo.


1.jpg

Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha akiwa na mumewe, Emanuel Mbasha,

Chanzo kikazidi kudai kwamba, ilibidi Flora apige simu polisi ili wafike kumuokoa yeye na familia yake.

"Polisi wawili walifika haraka sana wakiwa na bunduki na kukuta wale watu wamekimbia maana walimsikia Flora akiongea na polisi kuomba msaada.


"Lakini polisi wenyewe ilibidi watumie nguvu kubwa kugonga geti na kujitambulisha ndipo akatokea Flora na kuchungulia nje kupitia dirisha dogo. Alipowaona polisi akafungua mlango," kilisema chanzo hicho.

Akihojiwa na polisi hao, Flora alisema watu hao walikimbia na hakuwajua kwa sura wala hawakujitambulisha ni akina nani.


Alizungumza na gazeti hili baada ya tukio, Flora alisema: "Unajua kwa sasa nina hofu sana na nilihisi wale watu walikuwa wakinifuatilia kwa karibu kila sehemu, sasa naogopa kuendelea kuishi hapa, wanaweza kurudi na sijui lengo lao."


Hata hivyo, baada ya askari hao kuondoka katika eneo hilo, Flora naye aliingia kwenye gari lake akiwa na mdogo wake na kuondoka.

Mume wa Flora, Mbasha naye yupo mafichoni baada ya kudaiwa kumbaka binti wa miaka 17 ndani ya nyumba yao huku utata ukitawala kuhusu ukweli wa tukio hilo ambalo limeigawa jamii.








Pitia hii video umsikilize anayoyasema:

 
Last edited by a moderator:
Aisee waandishi wa kibongo hawajui hata kazi zao,ye kakaa tu kama baba na mjukuu anamsikiliza bila kumwuliza maswali ya maana anaitikia tu eehe!
 
Mimi nimeanza kuingiwa na huruma kwa hii familia...tuwaombee;

They are still in love ila shetani ndio hivyo tena kapita na hataki kutoka;

Nilisoma anahojiwa na magazetu ya udaku; inasikitisha sana....tuwape nafasi watatue matatizo yao; kama wamemsingizia jamaa kabaka na hajabaka siyo fair.

Kama kabaka sheria ichukue mkondo wake; maana hapo ni beyond msamaha...

Ila na hilo kanisa lao ni kanisa gani linalochochea watu kutengana????? Kama wasingetengana mumewe angebaka??? si excuse ila Flora hapo lazima ajisikie ni mkosaji kuruhusu shetani achukue mkondo wake.

Mkiwa na matatizo kwenye ndoa usinyanyue mguu wako kuacha nyumba yako; unless unajua kuwa ni for good; that is my formula.
 
huyu flora the way anavyoongea,anaonekana hajiamini,kuna uongo hapo kwenye stori yake

Tangia mwanzo wa hili sakata watu mmeongea mengi hasa hasa mkimshtumu Flora, na tuliamua kunyamaza tu ila Bwashe anazidi na Flora kavumulia sana na lazima imuume kuachwa sababu ni Marioooo Mbasha amka get a life stupid mbakaji wa Yatima
 
Tangia mwanzo wa hili sakata watu mmeongea mengi hasa hasa mkimshtumu Flora, na tuliamua kunyamaza tu ila Bwashe anazidi na Flora kavumulia sana na lazima imuume kuachwa sababu ni Marioooo Mbasha amka get a life stupid mbakaji wa Yatima

unaposema mliamuwa kunyamaza tu ni wewe na nani and who are you?
 
huyu flora the way anavyoongea,anaonekana hajiamini,kuna uongo hapo kwenye stori yake

Cku zote mtu akiongea uwongo muangalie machoni ndio utamjua,yani macho yake na uso wake unaonyesha ni mwongo istoshe hajiamini.kma humtaki m2 si muachane tu sio kupeana makesi ya kijinga mpka jamii inawaona sio,flora toka zamani mchepuko hawezi badilika huyo
 
Tangia mwanzo wa hili sakata watu mmeongea mengi hasa hasa mkimshtumu Flora, na tuliamua kunyamaza tu ila Bwashe anazidi na Flora kavumulia sana na lazima imuume kuachwa sababu ni Marioooo Mbasha amka get a life stupid mbakaji wa Yatima

Naona umejipa cheo cha uhakimu sasa.
 
Back
Top Bottom