Mary Beatus
Member
- Feb 23, 2014
- 11
- 6
Bado 'The Return Of Mr.Mbasha'.....iI'm Getting Bored With This Series Tho'
Teh teh be patient bbna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado 'The Return Of Mr.Mbasha'.....iI'm Getting Bored With This Series Tho'
Msukuma fake huyo wasukuma hatuna tabia mbaya hivyo tutakosana binamu
sa alienda tabata kufanya nini angebaki huko huko
Msukuma fake huyo wasukuma hatuna tabia mbaya hivyo tutakosana binamu
halafu kanisani wakamchangia pesa,, eti wakristu wanaokwenda mbinguni... This is crazy
hakuna msukuma mmbea kama wewe
hakuna msukuma mmbea kama wewe
kumbe na wewe msukuma....msukuma gani wewe jeuri hivyo?
Eeh, makubwa aya, had umbea nao kumbe una kabila lake mmh nilikuwa sijui
Na hakuna mke mwenza ambae hatulii kwa mumewe kama wewe
Kumbe mke mwenzio huyo, maana ni msumbufu huyo toka ajiunge ACT.Nilikuwa sijui kama ameolewa.
Yaan ulikua hujui, kupika hajui,kukata mauno hajuii,kapewa talaka leo na shosti yake ndio wanambembeleza naona anamfariji amtafutie bwana mwingine,halaf mchafuu
Hee ... Msamehe bure mpenzi labda mwenzio amechoka na siku na mambo ya hapa na pale, hebu jimuvuzishe hapa twende PMSi kuna huyu mke mwenzangu abakokaram ana jina gumu kama ile dawa ya kikombe cha babu khaa!!kaachika huko ananiletea umbeaa mfyuuuu zake
Msukuma
No you are right and she'll regret for her mistakes maaaandaziiiiii
marriage woman who doesn't understand the value of husband and the meaning of ndoa