Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Naona kila mtu anaongea ongea tu. Hii ishu usanii kibao, ngoja kwanza mimi niendelee kuicheki.
 
Kiukweli bila kuhukumiana maana wengi tu wadhambi,wazinzi wa kila namna n.k....mwana ndoa kumfanyia hivi mzazi mwenzio uliyelala nae kitanda kimoja kwa miaka zaidi ya 10....uliyeshiriki nae shida na raha zote....alafu ukaamua kubariki hatua kama hizi kwa mke/mmeo hata kama si wewe moja kwa moja....lazima uwe na roho ya aina yake.......

Nimeangalia picha za jamaa pale mahakamani inatia huruma sana.....sijui Flora anajisikiaje!! What ever the mistake done......wana ndoa wanazo namna ya kumaliza tofauti zao na hekima na mapenzi ya kweli Flora alipaswa kusimama kizimbani na mme wake........ndio ndoa....ndio kufa na kuzikana......ndio kuvumiliana....nyie ni mwili mmoja....ndio maana mnakaa uchi kila mmoja akimjua mwenzake na kusitiriana.....ndio maana zipu ya baba ikisahaulika kufungwa mke anakimbilia kumsitiri mume.........hakuna namna ya Flora kujitetea kwa namna alivyoshughulikia swala la mume wake na kumuanika kwenye vyombo vya habari.......Flora unajua mama na baba yako wamefichiana mangapi? vipi baba yako angeishia jela kupitia mikono ya mama yako kwa issues kama hizi? kwanini ufanyie hivi watoto wako ambao huyo ni baba yao?

Kwanini zimekosekana kabisa hekima kumaliza hili.....sawa wengine mtamuita Gwajima majina yote lakini ni mtumishi wa Mungu na hawa ni kondoo wake tena wakaribu sana....kwanini haikutumika hekima kuhoji na kusuluhisha ikibidi hata kwa kutumia wachungaji ambao Emma anaweza kuwa na imani nao?

MTAZAMO hongera sana
 
Mtitu nasubiri kesho useme wame-hack acc yako mara baada ya kupokea simu za mzee wa hummer na wapendwa wengine walioko ughaibuni maana mkuu bold alilala mbele mara baada ya namba dunia ya kwanza kumuandama.
 
salam wakuu:

kiundani tukijadili na kuangalia sakata linalokabili familia ya bw Emanuel Mbasha haya mambo matatu yanaweza kuwa aibu kwa mwimbaji nguli mke na mama wa familia hii Florah Mbasa

1. anachofanya ni tofauti na message alizotoa kwenye nyimbo zake hasa ule wimbo wa mwanamke -------- hubomoa nyumba yake mwenyewe bali mwenye busara huijenga! so hapa tumchukuliaje florah!

2. kasha ya yeye kutembea na mchungaji Gwajima. iwe kweli au uongo lakini hii kashfa ni kama imemvua nguo hadharani

3. suala lenyewe haswa la ubakaji linalokimbiza mume wake, iwe kweli au uongo lakini anaezungumzwa na anaekabiliwa na kashfa ni mume wa FLORAH.

kiukweli kwa sasa florah amekuwa kama nyoka. she don't deserve to be called mtumishi wa MUNGU kwa unyama huu.
 
Yaan hii movie mi nasubiri mwisho wake,yaan sijaelewa bado nani mwenye makosa maana kila mtu anamlaumu Frola mwenye ukweli nanii
 
Ni muda sijaingia humu ni imani mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa
sijui niseme ni umbea au nn coz hata mm ninayo yangu lakini siyasemi

Ishu ya ndoa ya flora mbasha na mumewe kudaiwa kubaka imenigusa sana kwa kuwa na mm ni mjukuu wa askofu labda
Kama kuna yyte mwenye ukaribu na flora amwambie aungane na mumewe wamalize kesi yao,hakunamkamilifu kati yao lakini kikubwa wanasababisha jina la huyu Mungu wetu litukanwe
Nashindwa kuelewa ni Mungu yupi huyo flora anaemwimbia ni aibu gani hi ??

Kama flora alishamchoka mumewe wangeachana tu kivingine iwe emanuel amebaka au hakubaka isingetakiwa ifike hapo ilipofika

Kwako flora acha ujinga, Muogope Mungu,ungana na mumeo mumalize haya mambo
 
Ndugu wa Mbasha wamkaribisha Emma nyumbani kwa wimbo wa mkewe "jipe moooyo,utayashindaaaaaa"
wanawake!! daa hapana jaman
 
Kuwa mjukuu au mtoto wa ASKOFU MOSES KULOLA (R.I.P)
siyo sababu; Yule mzee alisimama kwa imani yake;

Flora na mumewe Mbasha kiukweli nilikuwa nawaonea wivu sana kwamba ni ndoa iliyo imara;

Tatizo ni huyo mwanamke; na kama aliamua kufanya uhuni ni kwanini amwingize mumewe kwenye matatizo makubwa kama haya.

Kwa imani yangu malipo ni hapa hapa duniani, Mbasha atateseka ila na flora ataishia pabaya zaidi.
Mungu yupo na neno lake lii hai siku zote.
 
Ndicho hicho ninachojiuliza kama alikuwa na namna si angeachana nae tu akiwa huru? Mbna anatutia aibu HIV ?ni mangapi tunayokutana nayo kwenye ndoa makubwa na yanaisha?
Tumuombee emanuel Mungu amtetee
 
ndoa nisomo gumu sana na ndio maana unapewa cheti kisha mtihani unafuata flola mrudie mumeo yaisha pia kama mnataka kuachana mgeachana kwa wema
 
Kuwa mjukuu au mtoto wa ASKOFU MOSES KULOLA (R.I.P)
siyo sababu; Yule mzee alisimama kwa imani yake;

Flora na mumewe Mbasha kiukweli nilikuwa nawaonea wivu sana kwamba ni ndoa iliyo imara;

Tatizo ni huyo mwanamke; na kama aliamua kufanya uhuni ni kwanini amwingize mumewe kwenye matatizo makubwa kama haya.

Kwa imani yangu malipo ni hapa hapa duniani, Mbasha atateseka ila na flora ataishia pabaya zaidi.
Mungu yupo na neno lake lii hai siku zote.

Kwa uzoefu wangu watu wenye kujishow-off mara nyingi nyuma ya pazia huwa kuna mengi yamejificha, we angalia hata kwa wale bf - gf wa kutembea wanajionyesha barabarani mara nyingi hawafiki mbali
 
Hivi kama jamaa kabaka kweli ina maana aachiwe tu hivi hivi? Vipi haki za yule binti wa miaka 17 anayedaiwa kubakwa? je angekuwa binti yako au mdogo wako ndiye aliyebakwa mngebaki na msimamo huo huo kuhusu huyo Flora? Mimi nadhani mahakama ni sehemu sahihi ya kutoa haki. Kama kweli hajabaka bali amesingiziwa tu basi haki itapatikana na ataachiwa huru. Huyo Mungu unayedai anatukanwa ndiye aliyesema USIZINI na imeandikwa hivyo kwa hiyo wanaojitukanisha ni wale wanaojiita waumini wala siyo Mungu. Ndio maana kwenye ukristo hakuna vita ya kumtetea Mungu kwani hahitaji msaada wa mwanadamu kwa lolote lile.
 
Ni muda sijaingia humu ni imani mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa
sijui niseme ni umbea au nn coz hata mm ninayo yangu lakini siyasemi

Ishu ya ndoa ya flora mbasha na mumewe kudaiwa kubaka imenigusa sana kwa kuwa na mm ni mjukuu wa askofu labda

Kama kuna yyte mwenye ukaribu na flora amwambie aungane na mumewe wamalize kesi yao,hakunamkamilifu kati yao lakini kikubwa wanasababisha jina la huyu Mungu wetu litukanwe
Nashindwa kuelewa ni Mungu yupi huyo flora anaemwimbia ni aibu gani hi ??

Kama flora alishamchoka mumewe wangeachana tu kivingine iwe emanuel amebaka au hakubaka isingetakiwa ifike hapo ilipofika

Kwako flora acha ujinga, Muogope Mungu,ungana na mumeo mumalize haya mambo

Wewe Mankaa mbona hapo kwenye RED na BLUE panapingana???

Iwapo Flora ni ndugu yako basi wewe ndio mtu wa karibu wa kumpa ushauri kama ndugu yako ili kuepuka aibu mnayoipata kwenye ukoo wenu UKOO WA KULOLA....
 
Last edited by a moderator:
Kabaka limama lizima lile kweli?
Ameshajua hata kuvaa nusu uchi ni wakubakwa au ni makubaliano tu;
Vinginevyo ni huyo shetani flora alitaka iwe hivyo ili abaki na uhuru wake.

Hivi kama jamaa kabaka kweli ina maana aachiwe tu hivi hivi? Vipi haki za yule binti wa miaka 17 anayedaiwa kubakwa? je angekuwa binti yako au mdogo wako ndiye aliyebakwa mngebaki na msimamo huo huo kuhusu huyo Flora? Mimi nadhani mahakama ni sehemu sahihi ya kutoa haki. Kama kweli hajabaka bali amesingiziwa tu basi haki itapatikana na ataachiwa huru. Huyo Mungu unayedai anatukanwa ndiye aliyesema USIZINI na imeandikwa hivyo kwa hiyo wanaojitukanisha ni wale wanaojiita waumini wala siyo Mungu. Ndio maana kwenye ukristo hakuna vita ya kumtetea Mungu kwani hahitaji msaada wa mwanadamu kwa lolote lile.
 
mimi siamini kama ema amebak yule binti kabisa Mamndenyi, imani yangu yatajulikana tu hapa....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom