Umefikiri tofauti, shida kwenye matatizo tunakimbilia kulalamika na kushutumu, bila kuangalia scenario nzima ya hiyo kauli, inawezekana mwanamke ndio anashinikiza huo uwepo wa hayo mahusiano, ila jamaa amekuwa wazi kwa kuongea ukweli wake, siungi mkono ujinga wake.Mnaishi maisha gani hayo,au ulijipeleka mwenyewe yeye hakuwa na mpango nawewe anafanya ivyo ili uchukie uondoke,maana hamna ndoa hapo
Hatuwezi kuwaza sawa kwenye forum hii mkuuUmefikiri tofauti, shida kwenye matatizo tunakimbilia kulalamika na kushutumu, bila kuangalia scenario nzima ya hiyo kauli, ila jamaa amekuwa wazi kwa kuongea ukweli wake, siungi mkono ujinga wake.
Unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato?.Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Kabisa,Hatuwezi kuwaza sawa kwenye forum hii mkuu
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Ushauri wa hovyo asipike wkt vinanunuliwa?.Kama unatafuta pesa na hamuishi na mtu mwingine basi usipike chakula, Kula mtaani ama pika chako tu, usinunue umeme wala kufanya bili yoyote.
Halafu subiri reaction
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa za cku hizi Wanaume wengi wanatoa chakula mengine utajiju Ndio ndoa nyingi zilivyo. Ukiwa na kazi yako akaaa Wala hujionei Tabu yako yataenda. Wengi wanabana kwenye bajet ya chakula ndo apate kitenge, asuke n.k n.k. Sema huyo kakosea kukujibu alichokujibu. Mwambie ajibane apate japo mtaji wa mandazi atajikwamua kama Hana kazi. Atabadili wanaume Ila bora hata huyo analeta chakula wengine hata chakula hawanunui.
Imagine bwana Smart911 ndiyo anamjinu hibyo mahondaw
Aisee sipati picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano mawifi/ mama mkwe wako kamueleza kwamba "unajaza choo" tu hivyo haina haja ya kukuhudumia.Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Bidada anamaduka yake ya dawa 2 jamaa anahakikisha anasimamia
Iko hivi bidada anamaduka 2 ya dawa ambayo moja alikutwa nalo wakati anOlewa lingine walipohamia mkoa mwingine jamaa akafungua jingine
Matumizi Kama chakula anatoa jamaa
Kuhusu kununua vitu Mara nyingi hela inatoka dukan bidada akiwa na shida mume anasema hana hela na hawez kuchukua kwenye biashara sababu zinamahitaji ndani,, akijaribu kumwambia tuweke mtu dukan Mimi nikafute kazi sababu bidada kasomea mambo ya pharmacy jamaa anamkataza
Jamaa anapata c chini ya mil 3 kwa mwez alivyojaribu kuhoji hela zako unapeleka wapi
Ndio majibu hayo aliyojibiwa
Mada hujaielewa wala hujanielewa any way asante kwa mchango wakoKwanini yanakuwa yako wakati upo kwa ndoa.... kwa hiyo wewe maduka ni yako ila mshahara wa mmeo ni wenu. Tena moja ushasema mtaji umetoka kwake.
Mimi mwenyewe ningefanya hivyo....na naamini wanaume wengi wangefanya hivi pia.
Sioni tatizo kwa jamaa naamini tungeskia upande wake jambo lingeeleweka vizuri saana.
Wanaume wasiohudumia wake zao wapo wengi tu na sio vizuri. Kwa upande mwingine kuhudumia wanawake hasa wavivu wanakutafsiri kivingine na wakishaona loops kwa ndoa basi litabebewa bango hadi mwanaume atakoma.
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Mke ajihudumie kilakitu ndani chakwako ni kwaajir ya ndugu zako alafu unataka ww uhudumiwe?? au kila mtu ajihudumie??? naomba jibu hapana huyo mwanamke kwa nn asifanye kazi akajihudumia ..mwambie aacha ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili ndilo tatizo la wanaume tunalokutana nao. Na habari ikienda kwa watu inapelekwa kimalaikamalaika.Yawezekana kuna tatizo kwako kwako,
Kuna ile midomo ya kero pia hatujui lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app