Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Mnaishi maisha gani hayo,au ulijipeleka mwenyewe yeye hakuwa na mpango nawewe anafanya ivyo ili uchukie uondoke,maana hamna ndoa hapo
Umefikiri tofauti, shida kwenye matatizo tunakimbilia kulalamika na kushutumu, bila kuangalia scenario nzima ya hiyo kauli, inawezekana mwanamke ndio anashinikiza huo uwepo wa hayo mahusiano, ila jamaa amekuwa wazi kwa kuongea ukweli wake, siungi mkono ujinga wake.
 
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.

Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"

Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato?.
 
Kama unatafuta pesa na hamuishi na mtu mwingine basi usipike chakula, Kula mtaani ama pika chako tu, usinunue umeme wala kufanya bili yoyote.

Halafu subiri reaction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaa sana kwenye comments zenu

hamna haja ya kuachika hapo
Kikubwa ni kupambana kuongeza kipato hasa binafsi ili ujitunze mambo ya saluni kuvaa mafuta ya gari nk

Ye si ananunua vyakula.,we pambana kupika weka mezani maisha yaende
Nani akulishe akuvishe zama hizi?..
Kwani na we unafanya kazi zote home?.weka dada kama huna maisha kitonga sanaaa
 
Ndoa za cku hizi Wanaume wengi wanatoa chakula mengine utajiju Ndio ndoa nyingi zilivyo. Ukiwa na kazi yako akaaa Wala hujionei Tabu yako yataenda. Wengi wanabana kwenye bajet ya chakula ndo apate kitenge, asuke n.k n.k. Sema huyo kakosea kukujibu alichokujibu. Mwambie ajibane apate japo mtaji wa mandazi atajikwamua kama Hana kazi. Atabadili wanaume Ila bora hata huyo analeta chakula wengine hata chakula hawanunui.
 
are you guys enjoying sex???maana km mwanaume aenjoy sex basi dalili ya kwanza ni ubifsi ya pili ni dharau...

kifupi hapo anakuona mzigo,ni mbaya lakini inakaukweli...

nakupa mfano hai,mi nakaaha mbalimbali na wifi yako sababu ta kazi,by nature sio mchoyo ila ofcourse sitoagi hela za kununulia mawigi ya blue...

sasa tukikaa mbali mbali km miezi 2 kwenda mitatu basi kila hela nayompa naonaga natupa sijui kwanini lkn uwaga najikuta tu naona ni upuuzi kumpa pesa nyingi...

nikionana nae tu basiiiiii hapo atakula hela,atafanyiwa shopping na pesa yangu inatoka kwa moyo mmoja...

Tafakari kuhusu status ya sex kwenye mahusiano yenu..Kumbuka malaya akitaka kula hela ya mwanaume ananzaa kwa kumpa penzi nzito sanaaaa then akileta mahitaji yake basi yanatatuliwa bila shida...jiulize why after great sex???sio wajinga wale kumbadilisha mtu mwenye mke na watoto akahonge gari kwa hiyari yake ili hali nyumbani watoto wanalala njaa...jifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.

Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"

Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Kuna uwezekano mawifi/ mama mkwe wako kamueleza kwamba "unajaza choo" tu hivyo haina haja ya kukuhudumia.
Pole sana kwa hilo hapo hana mume unaishi na mvulana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidada anamaduka yake ya dawa 2 jamaa anahakikisha anasimamia

Iko hivi bidada anamaduka 2 ya dawa ambayo moja alikutwa nalo wakati anOlewa lingine walipohamia mkoa mwingine jamaa akafungua jingine
Matumizi Kama chakula anatoa jamaa
Kuhusu kununua vitu Mara nyingi hela inatoka dukan bidada akiwa na shida mume anasema hana hela na hawez kuchukua kwenye biashara sababu zinamahitaji ndani,, akijaribu kumwambia tuweke mtu dukan Mimi nikafute kazi sababu bidada kasomea mambo ya pharmacy jamaa anamkataza
Jamaa anapata c chini ya mil 3 kwa mwez alivyojaribu kuhoji hela zako unapeleka wapi
Ndio majibu hayo aliyojibiwa

Kwanini yanakuwa yako wakati upo kwa ndoa.... kwa hiyo wewe maduka ni yako ila mshahara wa mmeo ni wenu. Tena moja ushasema mtaji umetoka kwake.

Mimi mwenyewe ningefanya hivyo....na naamini wanaume wengi wangefanya hivi pia.

Sioni tatizo kwa jamaa naamini tungeskia upande wake jambo lingeeleweka vizuri saana.

Wanaume wasiohudumia wake zao wapo wengi tu na sio vizuri. Kwa upande mwingine kuhudumia wanawake hasa wavivu wanakutafsiri kivingine na wakishaona loops kwa ndoa basi litabebewa bango hadi mwanaume atakoma.
 
Mada hujaielewa wala hujanielewa any way asante kwa mchango wako
 
na huyo mwanamke kwa nn asifanye kazi akajihudumia ..mwambie aacha ujinga

Back
Top Bottom