Mume wa ndoa akikujibu hivi utajisikiaje?

Km amesoma kwaajiri ya ndugu zake Basi angeoa hata binamu yake kipato kisiende mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lady in action , take action my dea

Sent from my Tapatalk
 
Ndoa nyingine ni kifungo tosha pole sana,muhimu kaongea ya moyoni jishuhulishe ndugu.
 
Naomba nikuwoweee maana na mimi nina kamwanamke kananijibu ujinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tabia zimeanza baada ya ndoa? Lazima kuna red flags ulizifumbia macho maybe kwakuwa ulihitaji ndoa. Hayaibukagi tu hayo.
Sasa tayari mko kwa ndoa tumieni hekima na busara kutatua changamoto zenu. Kaa zungumza na mwenzio kwa hekima, yawezekana anatoa hayo majibu kutokana na namna unavyoliwasilisha hilo tatizo kwake.

Tafuta muda ambao mmetulia, hana stress ikibidi mtoke kabisa home mwende sehemu tulivu. ZUNGUMZENI.
 
Hapo hapo ndipo ulishindwa kumwelewa aliyekupa stori ama ndipo pia uliposhindwa kumwelewa anayekataa kukuhudumia.
Kwa sababu umeonesha nia ya kusaidia
 
Ishu nyingine mtoto, mtoto, mtoto....mwanaume aweza kuwa hajali lakini ukishamzalia utashangaa anahudumia kila kitu.
 
Nilikuwa nakuonesha kuwa bibie shida yake ni ya muda, kwa huyo kwa msaada zaidi nikaweka link ya uzi wake huo

 
Je unajishughulisha na kazi yoyote, au wewe ni mlemavu?

Kama sio mlemavu usisubiri kudaka kama golikipa, usisubiri huduma, jihudumie, ikibidi hudumia familia

Siku ukiomba mtaji (kama huna chanzo cha mtaji) akikujibu hivyo, njoo na thread ya kutuomba ushauri

Kuna dada ninamfahamu, yeye ndio ananunua chakula nyumbani na mwanaume hana hata muda, sasa hivi anawaza ada ya mtoto anayeanza kidato cha kwanza mwakani, mwanaume wala hana habari

Wakati unalalamika huna viatu, kumbuka kuna wengine hawana hata hiyo miguu ya kuvaa viatu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nakusanya kilichochangu kama tabia ni sugu na hana dalili ya kujirekebisha wala siagi natembea na bwana yann kujikera nafsi

Heri uishi pekeako ila kwa raha kuliko kuishi na mtu ila ni kwenye kero, manyayaso,maudhi

Hata mwizi huwa anaaga
 
Mada Kama hii akijibu hivi mwanamke kuna majitu inakuja kumshambulia eti Kama hajaachika basi ni single mother mzee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ngoja nipite kimya.
 
Ndo wanaume walipofikia siku hizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…