GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Tusikilize na upande wa pili unasemaje maana wanawake mna kidomo domo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine bwana Smart911 ndiyo anamjinu hibyo mahondaw
Aisee sipati picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Km amesoma kwaajiri ya ndugu zake Basi angeoa hata binamu yake kipato kisiende mbaliUna mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
lady in action , take action my deaUna mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.

Kwa sababu umeonesha nia ya kusaidiaHapo hapo ndipo ulishindwa kumwelewa aliyekupa stori ama ndipo pia uliposhindwa kumwelewa anayekataa kukuhudumia.
Pole sana, unapitia mengi, natamani ningeweza saidia
Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja 1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza? 2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini client?Kwa sababu umeonesha nia ya kusaidia
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa ajili ya ndugu zangu tu, na ninatafuta pesa kwa ajili ya ndugu zangu tu"
Je, kama wewe ni mke utajisikiaje, na utachukuwa maamuzi gani?
Yan nimeshahangaika mpaka basiIshu nyingine mtoto, mtoto, mtoto....mwanaume aweza kuwa hajali lakini ukishamzalia utashangaa anahudumia kila kitu.
Yan nimeshahangaika mpaka basi
Binafsi nakusanya kilichochangu kama tabia ni sugu na hana dalili ya kujirekebisha wala siagi natembea na bwana yann kujikera nafsi
Heri uishi pekeako ila kwa raha kuliko kuishi na mtu ila ni kwenye kero, manyayaso,maudhi
MwanzaUko mkoa gani?
Mada Kama hii akijibu hivi mwanamke kuna majitu inakuja kumshambulia eti Kama hajaachika basi ni single mother mzee 😂 😂 😂Ila kina mama huwa mna uvumilivu mkubwa sana aisee. Hivi mtu hadi anakujibu hivi unasubiri nini tena akwambie ili ujue hamna ndoa hapo?
Alisoma kwa ajili ya ndugu zake tu dah!
Hivi raha ya kuolewa ni ile kuvaa shela na kulala kitanda kimoja na mwanaume bila woga au ni ile tu watu wakiona waseme Lady in action kaolewa bwana, ana mume. Hizi ndio maana pekee za kuolewa hivi? Mbona hapo hakuna hata maana moja ya kuolewa?
Ndo wanaume walipofikia siku hizi...Bidada anamaduka yake ya dawa 2 jamaa anahakikisha anasimamia
Iko hivi bidada anamaduka 2 ya dawa ambayo moja alikutwa nalo wakati anOlewa lingine walipohamia mkoa mwingine jamaa akafungua jingine
Matumizi Kama chakula anatoa jamaa
Kuhusu kununua vitu Mara nyingi hela inatoka dukan bidada akiwa na shida mume anasema hana hela na hawez kuchukua kwenye biashara sababu zinamahitaji ndani,, akijaribu kumwambia tuweke mtu dukan Mimi nikafute kazi sababu bidada kasomea mambo ya pharmacy jamaa anamkataza
Jamaa anapata c chini ya mil 3 kwa mwez alivyojaribu kuhoji hela zako unapeleka wapi
Ndio majibu hayo aliyojibiwa