Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Kila nimemsikia Marehemu Magufuli akilalamika kuhusu kazi za Uraisi zilivyo ngumu

Namshauri Mama Samia ajifunge kibwebwe kazi imemtafuta yeye
 
Kila nimemsikia Marehemu Magufuli akilalamika kuhusu kazi za Uraisi zilivyo ngumu

Namshauri Mama Samia ajifunge kibwebwe kazi imemtafuta yeye
😂😂.. Umuombee kama wewe nimtu wa Imani
 
Alikua nae ila mama alipokula umakamu system ilimtaka aachane na Yule mwingine
Hv system inaweza kukuachanisha kweli wakat dini inaruhusu?mbona mstaafu mwinyi ana wake wawili na jamii inajua
 
Na pia awe mshauri kwa mkewe...awe ana akili kwakweli kumzidi mkewe ili mambo yabalance...hivi kwa mfano anakua ana akili kama za Chalamila!!! Mie nakufungia makabatini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikua nae ila mama alipokula umakamu system ilimtaka aachane na Yule mwingine
Kumbe alikuwepo? Haya mapenzi wakiwa pembeni lazima siri aambiwe na mdogo pia duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…