Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
Huu ndio uhuru wa mitandao tunaoutaka?mnatuharibia sana.
 
Wako vizuri. Walioana mwaka 1978 mpaka leo waanaishi na watoto wa 4 na mmoja ni Mbunge hata hasikiki. Inaelekea ni familia iliyo na heshima sana na mambo yao ni private sana. Mume wake inaonekana kabisa ni supportive kwa mke wake maana mama anachapa majukumu kisawasawa kabisa. After all kwa sasa ni wazee wanaobembelezana tu. Nimeipenda sana hii familia kwa hakika.
 
Hahahhahhaahahaa....utaachika shauriro..na wanawake wa kiafrica tunaamini sana kwa ndoa ..yelewiii
Majukumu yangu nitafanya bila shida yeyote wala shida yeyote, mliwahi ona makamu wa shule mmewe alikuwa anamkataza akiitwa na mkuu wake labda kuna dhalula shuleni na shule yenyewe ya bweni mama wawatu alikuwa anatoka kwa lazima
 
Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
This is an insult. Hata mkeo inaonekana umamdharau sana kisa anachuchumaa akikojoa. Hao waliosimama wakakojoa walitupeleka wapi? Ndiyo maana katika hotuba mama amediriki kusema wazi tuanze upya na tusameheane na tupone. Siyo mjinga mpaka aseme hivyo.
 
This is an insult. Hata mkeo imapnekana umamdharau sana kisa anachuchumas alikojoa. Hao walisimama wakakojoa walitupeleka wapi? Ndiyo maana katika hotuba mama amediriki kusema wazi tuanze upya na tusameheane na tupone. Siyo mjinga mpaka aseme hivyo.
Na mara nyingi mijaunaume ya namna hii huwa financially iko poa..baa utanyanyasika wewe mwanamke had ujute kuolewa....mie utajuta kunijua ....yaani utashinda ndani umelala..mwez mmoja tu umekondaaa..shenz taipu .shwain kabisa
 
Katika dunia ambayo bado imejaa mfumo dume. Kwani hii dunia kuna siku mnawaza mfumo dume utaisha? Mfumo dume ndio mfumo aliouweka Mungu mwenyewe.

Back to the topic, mume wa Rais keshazoea. Mkewe kawa makamu wa Rais kwa miaka 5 ina maana hajaonja ladha ya kuwa na mke among top leaders? No....kaonja.

Halafu, tumpe huyo mzee hongera kwa kumtunza mama to that level. Why? Angemvuruga huyo mama leo hii tusingemuona hapo alipo.

So to me, mzee anahitaji hongera nyingi sana.
 
Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
bora huyo huyo anayechuchumaa akikojoa kuliko hilo shetani lilokufa
 
Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
Shika adabu yako,unakua Kama hujazaliwa na Mwanamke,au unazani wwe umejiumba kukojoa huku umesimama hadi unadharau jinsia ya kike!!
 
Kumbe yule kansela wa ujerumani ana mume,ila huyu mzee mume wa mama Samia mpaka sasa atakuwa haamini kama amekuwa rais(indirectly)

Jiwe kwa kiburi chake ndio kaifanikisha hii ndoto ya kuwa na rais anayechuchumaa wakati wa kukojoa
Mungu akusamehe kwa maana hujui utendalo
Huyo aliyekuumba wewe unakojoa huku umesimama ndiye huyo huyo aliyemuumba mama wa watu na mama ako,hakuna hata mmoja alitaka kuubwa jinsi alivyo bali ni mapenzi yake yeye?
 
Back
Top Bottom