Mume wa Samia Suluhu, Hafidh Ameir, sasa kuwa Tanzania's First Gentleman

Status
Not open for further replies.
Kwa mbaaaali alitaka kufanana na john cheyo.

Ila sura hii inaonekana masanga kama kawa
 
Hivi anaweza pangiwa ratiba ya kwenda sehemu flan mme nae akasimika usiende huko nakuhitaji atatii ratiba ya serikali au sauti ya mme wake?

Katiba yetu ni kituko dunia nzima, leo mimi rais wangu ni mwanamke ajabu
 
Siku hizi chadema wamekomaa na Wana CCM utadhani saccos yao haina viongozi.
 
Hivi anaweza pangiwa ratiba ya kwenda sehemu flan mme nae akasimika usiende huko nakuhitaji atatii ratiba ya serikali au sauti ya mme wake?

Katiba yetu ni kituko dunia nzima, leo mimi rais wangu ni mwanamke ajabu
Cha ajabu kiko wapi? Kwani sisi ni wa kwanza duniani kuwa na rais mwanamke?
 
Hivi anaweza pangiwa ratiba ya kwenda sehemu flan mme nae akasimika usiende huko nakuhitaji atatii ratiba ya serikali au sauti ya mme wake?

Katiba yetu ni kituko dunia nzima, leo mimi rais wangu ni mwanamke ajabu
isije ikawa kama enzi za Anna Makinda bungeni, kuelemewa na cheo
 
Mara nyingi viongozi wa kibongo wanaangushwaga na familia zao...ngoja tuone the way atakavyowa expose na kuwachukulia ndugu zake hapo ndio tutaanza kujua mustakabari wa Tanzania yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom