Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa single mshangazi.
Kaibuka hivi majuzi akijiita ni pastor mchunga kondoo, mwanaume wa kumpelekea moto anapowaka tamaa ya ngono hajulikani, mwanaume wa kumuongoza kama kichwa hajulikani.
Kwenu kondoo wote wa Irene hebu mtujuze mume wa pastor wenu ni nani hasa?