Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Unataka namba ya baba Kisarii?Mwenye ako na ile connection anitumie inbox
Sasa Bob Risky kaingiaje hapa jamani? [emoji23][emoji23][emoji23]Pesa inatafutwa kila staili kama bob risk
Are you member of Friends of God Ministry?Never judge people by their past,
people learn,people change,
people move on.
Peleka sadaka kwa pastor, acha porojo.Aloo Mchungaji mtamu hapo mbona ntasadakia mali zangu zote ili tu nikae katikati ya uvungu wa mapaja ya mchungaj anipe joto la rohoni.
Peleka sadaka kwa pastor, acha porojo.
Ikipeleka sadaka ya jero sahau kukaa ndani ya katikati. Pastor hapokei sarafu ujueSawa lakin lazima nikae katikati/ndani yake upendo wake unizingire.
Wafuasi wanatafuta pesa, wachungaji nao wanatafuta pesa, hapo ni kivumbi na jasho.Pesa inatafutwa kila staili kama bob risk
Ndio napeleke Kilo kadhaaaIkipeleka sadaka ya jero sahau kukaa ndani ya katikati. Pastor hapokei sarafu ujue
Unataka kusema hizo picha sio za pastor uwoya?mbona picha hazina uhusiano wowote na swali lake,
Na usipopata unachitarajia usimlaumu pastor 😂Ndio napeleke Kilo kadhaaa