Mume wa Wolper

Wanasemaga MWANAUME mwenye HAIBA ZA KIUME huwa mtamu zaidi,, kuliko wale wanaume warembo,,, MWANAUME Unapaswa Uwe na sura NGUMU,,,, mikausho mikali kila wakati,,, sio kucheka cheka,, MWANAUME hupaswi Kuwa na haiba za kike,,
Sio kwa hii ya huyuu
 
Sio kwa hii ya huyuu
Kweli mkuu,, nishawasikia wanawake zaidi ya mmoja,MWANAUME mtamu awe na SURA NGUMU,, KIDEVU KIWE NA MZUZU,, hawapendi DUME linyoe ndevu,, mustache.. Awe hana chochote usoni,, NDY siri ya vijana Wengi wa sasa wa KIUME kufuga KIDEVU CHENYE MZUZU... Hyo ni proved 100%
 
Huyu anajivika kama jambazi
Ukitaka MWANAUME wa showoff utamwona hafai,, ila ukitaka raha za ndani,, na UJIHISI upo na REALLY MWANAUME chukuwa sura NGUMU,, Hata Huyo uwoya alishasikika akiongea live,, anapenda sura NGUMU..
 
Kiki hizi,wolper kalipwa hela nying amtoe jamaa,hata dogo janja pia nae kiki tuu,ndoa ya ukwel ni ya shish beibe
 
Mi wanaume wenye sura ngumu hivi hapana ,,sifurahiagi kiukwelii
Kua na mustach ni kawaida na inavutia tu ,,kama huu unavutia
 
Ukitaka MWANAUME wa showoff utamwona hafai,, ila ukitaka raha za ndani,, na UJIHISI upo na REALLY MWANAUME chukuwa sura NGUMU,, Hata Huyo uwoya alishasikika akiongea live,, anapenda sura NGUMU..
Hao huwa wanaropoka tu.Ukifanya utafiti hizo sura ngumu wanazikwepa na wamedate nao mara chache tu
Haya Hivi Dogo Janja ni sura ngumu?
 
Hao huwa wanaropoka tu.Ukifanya utafiti hizo sura ngumu wanazikwepa na wamedate nao mara chache tu
Haya Hivi Dogo Janja ni sura ngumu?
Tena dogo janja ana sura nzuri kweli na ukuni wa ukweliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…