Mume wa Wolper

Mume wa Wolper

Mi wanaume wenye sura ngumu hivi hapana ,,sifurahiagi kiukwelii
Kua na mustach ni kawaida na inavutia tu ,,kama huuView attachment 680493 unavutia
Yaonekana wewe ni mmoja ya wanaopenda wanaume wa showoff,, mwisho wa siku mnawapa sifa za VIBAMIA,,, mara hawawezi kazi... jaribu siku sura NGUMU,, uone,, labda nikwambiye kitu,, siku zote MWANAUME anacho anachoringia ktk mapenzi,,, wale wenye pesa huringia pesa zao,,, mara nyingi si wajuzi kitandani,, na wale wenye sura nzr huringia sura zao,nao pia sio wajuzi sana..... , na hawa wenye sura NGUMU hawana cha kutambia zaidi ya KAZI ZA KITANDANI,,, NDY siri ya warembo kupenda wenye sura NGUMU... hao wanaume wazuri ni kwa ajili ya showoff tu...
 
Heheheh sio wote wenye sura za showoff wapo vibaya kitandani au wana vibamia ,huyo kaka nilierusha mwenye mustach kiasi hana kibamia na ni mzuri balaa
 
Kiki hizi,wolper kalipwa hela nying amtoe jamaa,hata dogo janja pia nae kiki tuu,ndoa ya ukwel ni ya shish beibe
Sio kwl,, kalipwa na nani? wakati jamaa anakula BUMUNDA bila wasiwasi... Hakuna kiki hapo,, that's really
 
Heheheh sio wote wenye sura za showoff wapo vibaya kitandani au wana vibamia ,huyo kaka nilierusha mwenye mustach kiasi hana kibamia na ni mzuri balaa
Ndy nimesema wanawake mnapenda showoff... Lakini mwisho wa siku hupata maumivu,, Hata sisi wanaume mara nyingi mwanamke mrembo sn anakuwa hajuwi kitu KITANDANI kuliko yule mwanamke wa kawaida tu,,, unakuwa na msichana mrembo wa showoff tu,, na hakupi raha Bali unajipa mwnyewe,,
 
Ukimjua huyo kaka utabaki kucheka tu!, miaka ya zamani alikuwa anajiita Sailas siku hizi Engine (hizi kick zitaua watu)
 
Ndy nimesema wanawake mnapenda showoff... Lakini mwisho wa siku hupata maumivu,, Hata sisi wanaume mara nyingi mwanamke mrembo sn anakuwa hajuwi kitu KITANDANI kuliko yule mwanamke wa kawaida tu,,, unakuwa na msichana mrembo wa showoff tu,, na hakupi raha Bali unajipa mwnyewe,,
Hapana ,,mapenzio sio tu kitandani,,
Mwanaume unamuona yuleee anakuja hata husisimki kaaa
 
Halafu ukishasisimka anakurambaramba anakubakisha na kiu,,,, wanini hyo? na siku zote wanawake mnachosema sio mnachokiwaza kwenye mioyo yenu,,, unasema hana mvuto wakati huyo handsome anakubakisha na KIU,, hata hivyo kwani jamaa Ana ubaya GANI?yule ni sura NGUMU... Sio sura mbaya... Ukitaka kukata kiu chukuwa sura NGUMU mkuu,,,, onja asali kidogo tu,,, naamini utauchonga mzinga
 
Yaan hapana,,hata wazuri wanakata kiu sana
 
Ndy nimesema wanawake mnapenda showoff... Lakini mwisho wa siku hupata maumivu,, Hata sisi wanaume mara nyingi mwanamke mrembo sn anakuwa hajuwi kitu KITANDANI kuliko yule mwanamke wa kawaida tu,,, unakuwa na msichana mrembo wa showoff tu,, na hakupi raha Bali unajipa mwnyewe,,
Kaka,hatumlaumu huyo jamaa kwa kuwa na sura ngumu hata kidogo!
Nakwambia hapa hapa Tanzania,kuna wanaume wana sura nzuri tu,wapo vizuri kitandani,wana pesa za kutosha na maumbile 'ya haja' tu.
Sio lazima unyimwe,kun wanaume ni Full package japo ni wachache.
Hata wanawake wapo pia.
 
Yaan hapana,,hata wazuri wanakata kiu sana
Ndy maana kuna GOOD,, BETTER,, BEST.. huenda hao sura nzr wakawa GOOD,, lakini sura NGUMU ni the BEST mkuu,, jaribu.... Mimi mwenyewe Nina sura NGUMU,, MZUZU kidogo.na mikausho mikali.. .. nikisema sura NGUMU sio MWANAUME mchafu,,,,au sura mbaya.. Anakuwa ni MWANAUME gentleman,, marashi ya bei,, unatupia vitu vya ki gentleman,, miwani,, unatembea kwa steps KALI,, halafu mikausho,, aisee,, ukikutana na mwanamke kila ukimwangalia lazima atafune kucha,, na unaweza ukamtongoza kwa ishara tu bila kuongea neno,, atakufata...
 
Ndy nimesema wanawake mnapenda showoff... Lakini mwisho wa siku hupata maumivu,, Hata sisi wanaume mara nyingi mwanamke mrembo sn anakuwa hajuwi kitu KITANDANI kuliko yule mwanamke wa kawaida tu,,, unakuwa na msichana mrembo wa showoff tu,, na hakupi raha Bali unajipa mwnyewe,,
Maumivu huyapati tu kwa sababu umekuwa na mwanamme ana mwonekano mzuri!
Tena mwanamme mwenye sura ngumu hata Roho yake huwa kama sura yake[emoji6] .
 
Back
Top Bottom